screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Mcameroon Francis Ngannou ametumia sekunde 20 tu kummaliza Msuriname Jairzinho Rozenstruik ambaye kabla ya pambano hilo alikuwa amecheza mapambano 10 bila kupoteza. Ushindi huu unamuweka Ngannou mahali pazuri zaidi kupigania mkanda wa Heavyweight kwa mara nyingine unaoshikiliwa na 'Stipe', pambano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo lilichezwa bila mashabiki kutokana na janga la Corona.
View attachment 1445872
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app