nergomafioso
Senior Member
- Apr 3, 2024
- 109
- 284
Inasemekana Mieleka ni maigizo yenye uhalisia🤨
Mzungu ameweza kuyaaminisha macho ya watazamaji kila kinachoonekana ni kweli😅
Wanatengeneza pesa ndefu sana kwa ile drama yao,
Tatizo Lipi hapo kwa ndugu 👇🏾👇🏾zangu Africans wameamua waonteshe hatuwahi kushindwa na kitu chini ya hii🌍
SASA WAKIPASUANA MABANDAMA NANI WA KULAUMIWA?