Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Haya mambo kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwa sasa yamekuwa ni fasheni lakini katika ulimwengu wa roho dhambi hii ni mbaya sana sababu utapofanya dhambi hii katika ulimwengu wa roho utaonekana kama mtu mwenye alama ya muhuri kwenye paji la uso wako yani ata siku utapokufa na unasogea katika kiti Cha hukumu nafsi yako itakukumbusha dhambi hii hapa ndio utaona ubaya wa dhambi hii na dhambi nyingine wakati huo nafsi yako itaanza kujuta na kuumia kusiko kwa kawaida yani kwa kuogofya sana mana muda wakutubu haupo tena
Ombeni toba dhambi hii ni mbaya sana ukiwa katika mwili utaendelea kubarikiwa tu na kuendelea na maisha mengine lakini utapokuwa umekufa dhambi hii itakuwa yakwanza mana imewekwq alama kwenye paji la uso wako ombeni toba dhambi hii na kuacha kabisa kufanya huu ufirauni tubuni muokoke