UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal


Shikamoo! LAZIMA NISEME
 
Last edited by a moderator:
Nyaraka hizi kutoka ndani ya Vodacom Tanzania yenyewe zinaashiria kuwa hii kashfa ni ya ukweli!

Asante mkuu kwa kutuwekea documents nyeti. Haya maelezo ya Vodacom yamenifanya nielewe vizuri jinsi watu walivyoiba mabilioni kwenye wizi huu
 
Na hii hapa ni barua ya Vodacom Tanzania kuvunja mkataba na kampuni ya Shivacom kutokana na kashfa hii ya wizi wa vocha ambazo walioibiwa ni wananchi masikini wa Tanzania wanaoweka vocha za shilingi 500 kwa wingi...

Hahahahaha, hiyo barua imenichekesha sana, hapohapo unavunja na mtu mkataba hapo hapo unam "invite" aje m negotiate mtalipana vipi makubaliano ya mkataba ikiwa utavunjwa.
 
Ama kweli JK alisema atajenga Mabillionea 1000 vile? Ubepari mtamu jamani acheni masihala!
 
Hahahahaha, hiyo barua imenichekesha sana, hapohapo unavunja na mtu mkataba hapo hapo unam "invite" aje m negotiate mtalipana vipi makubaliano ya mkataba ikiwa utavunjwa.

Ndiyo maana hizo tuhuma kuwa mabosi wa Vodacom wamepewa rushwa huenda ni kweli. Wewe umegundua mtu kafanya fraud na kuiba shilingi bilioni 675 halafu unamlipa fidia baada ya kuvunja naye mkataba badala ya kumpeleka polisi. Hii ni kesi ya jinai wazi wazi
 

how can an issue which started in 2008, and more or less ended in 2012 is surfacing now?? let not take sides on this fake issues, i can tell you maybe only 2% of this is true, 98% is sensationalisation
 
Huyu mwanasheria wa Vodacom Tanzania, WALARICK NITTU, aliyeandika barua hii bado yupo? Polisi na TAKUKURU wamhoji kwani atakuwa ni shahidi muhimu kwenye uchunguzi wa wizi huu mkubwa uliofichika tangu miaka 5 iliyopita.
 
how can an issue which started in 2008, and more or less ended in 2012 is surfacing now?? let not take sides on this fake issues, i can tell you maybe only 2% of this is true, 98% is sensationalisation

Sadoliki you seem to be a chicken head. Many big scandals are hidden for many years because of corruption, fear and conspiracies until they are uncovered years later. For example, the IPTL agreement was signed in 1994 but it was only in 2014/15 (20 years later) that details about this scandal emerged to the public. Grow a brain.
 
Chama Cha Mafisadi
Chama Cha Majambazi
Chama Cha Majangili
Chama Cha Mafioso
Chama Cha Majizi
Chama Cha Mashetani

you name it......
tutayakemeaje haya mapepo ndugu mashetani yana majina marehemu shekhe yahaya angekuwepo angatuambia majina ya haya mashetani ccm yamejipachika tu kama mapepo!!
 
Hii inaweza kuwa sababu Rostam Aziz kuuza hisa zake mwaka jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…