UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Kamanda mbona hii habari ilikuwa kabla ya uchaguzi?anyways ngoja upooze mioyo ya mbumbumbu aka nyumbus waougulia baada ya kutelekezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda mbona hii habari ilikuwa kabla ya uchaguzi?anyways ngoja upooze mioyo ya mbumbumbu aka nyumbus waougulia baada ya kutelekezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kila mkija mnasema ni ya zamani? So what? Ina maana ndo haina mashiko? Au mlidhani kuzuia uhuru wa habari ndo yataisha. Yani ndo maana mkanuita RA ikilu mafisadi wakubwa mkijinadi eti nyie ni wapya! Stupid kabisa.
 
Weka link hapa! Halafu tunataka tufahamu serikali ilichukuwa hatua gani?

Rostam Aziz na wenzake waliwajibshwa au walisingiziwa?
Link umeweka post namba moja au umekopi tu habari hujuwi hata kama ina link chini?

Upupu uulete wewe halafu ukuwashe wewe mwenyewe, unambie mimi nikukune?
 
Yamefichwa ama ni matokeo ya kuminya uhuru wa habari? We unadhani kupotea kwa Ben Saanane na wengine kuuwawa ni kwasababu gani? Ni ili wajinga kama wewe waendelee kubaki na ujinga wao wa wao waendelee kutafuna nchi.
mbona hamfichui mipesa aliyohongwa Mbowe 2015?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Link umeweka post namba moja au umekopi tu habari hujuwi hata kama ina link chini?

Upupu uulete wewe halafu ukuwashe wewe mwenyewe, unambie mimi nikukune?
Jibu hoja! Hili suala limefikia wapi? Sisi kujadili humu, haina maana tuna uwezo wa kuchukuwa hatua. Tunataka kujuwa serikali ilichukuwa hatua gani dhidi ya ubadhirifu huu?
 

Bwana Mushi, usirushe mawe ungali ndani ya nyumba ya vioo. Unakumbuka ile bahasha ya mwaka 2015 iliyowafanya mkabadili gia angani na kudeki barabarani ilitoka wapi? Akina Mdee na Lema wanajua vizuri maana kila mmoja alililamba vipande 300. Endelea kurusha mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…