UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal


Hawa jamaa wanaojiitaga Watanzania wenye asili ya bara hindi sio wazalendo na scandal nyingi sana za ukwapuaji wa fedha kwa namna moja au nyingine huwa wanahusika.

Huwa nawaza, kwanini wafanya maamuzi wamekuwa wakiwakumbatia sana ili kupiga nao deal? Sijui ni tamaa ya kupata dengu kutibu njaa ya muda mfupi kama Esau, kukosa uzalendo au vyote?

Serikali ina haja ya kupata wazawa ambao honesty kwa maslahi mapana ya nchi hii...
 
Charity begins at home.
Leadibg by example.
CHADEMA wapinga rushwa walichukua hatua gani baada ya kumpokea muhusika au mtuhumiwa wa hili sakata?

Angalau kumuomba ajitetee mbele ya kamati kuu kabla ya kumpokea asijekukichafua chama au kuwaletea ufisadi?

Ninachokiona mafisadi wapo kote ni suala la nani yupo jikoni na kisu cha kukia nyama.
 
Jamani tuacheni sisi CCM tunapambana na mafisadi msitutoe kwenye mstari, tunataka tuijenge Tanzania ya viwanda bila mafisadi.
 
Mbona kila mkija mnasema ni ya zamani? So what? Ina maana ndo haina mashiko? Au mlidhani kuzuia uhuru wa habari ndo yataisha. Yani ndo maana mkanuita RA ikilu mafisadi wakubwa mkijinadi eti nyie ni wapya! Stupid kabisa.
Yaani mimi nashangaa sana, ufisadi ni ufisadi tu uwe wa Magu au wa Kikwete,we have to question.Ilipostiwa zamani so what? Ufisadi wa zamani sio ufisadi? Issue kuna watu waliowajibishwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ililetwa zamani sana hii, haina mashiko.
Kazi kubwa unayo. Umekuwa kama popo vile, huku wataka na kule wataka. Akihusishwa Kiwete upo, mahaba niue. Akitajwa Magufuli upo, unafiki niue. Angalia usije ukapasuka msamba.
 
Kama hii scandal fake ilikosa mashiko hata ya kujadiliwa bungeni enzi zile bunge liko kwenye freestyle,maanake ni kuwa it was just pure bullsht,let see scandal yenyewe ilikuwa ni kati ya mwaka 2007-2008,one year,na kipindi hicho hakukuwa na matumizi makubwa kiasi hicho ya vocha,hata intanet kipindi hicho nchi zima walikuwa wanaijua watu wasiozidi 500,sasa tunaambiwa eti ndani ya mwaka mmoja jerojero la bilioni 650 zilipigwa,if so inamaana kwa huo mwaka vodacom walifanya biashara ya matrilion basi mpaka bilioni 650 ipigwe na wala kusiwe na athari kwa vodacom,
even if mtu anakiuliza nani huyo alieongea kwa vocha za jero jero kwa bilioni 650 ndani ya mwaka mmoja tu?,
tukija kuhusika kwa Roastam,kwanini mwanahisa abebeshwe mzigo wa kosa la management ya voda kama hiyo scandal kweli ilikuwepo,
bilion 600 zilikuwa pesa nyingi,hasa kwa wakati huo,kwanini hakukuonekana athari za kiuchumi hata kwa kampuni yenyewe ya vodacom?
 
Hii scandal ilinguruma sana 2015 ila naona mawimbi yakawa mazito ikazimwa hakuna majibu yaliyopatikana.

Huyu Tanil, MD wa Shivacom anaonekan ni Mafia sana, Vodacom yote alishika korodani wakashindwa cha kumfanya ila nyuma ya picha the real mastermind anaonekana.

Mr. RA alihusika directly kunegotiate hongo ya Rene Meza from Shivacom ili akae kimya batch ya vocha zilizobaki iuzwe.

Shivacom wakarudishiwa mkataba wa vocha na hela ya usumbufu wakalipwa.

Mabilioni ya jero jero feki yakavunwaaa, yakaingilia Shivacom(Tanil), Planetel(Noni) na Alphatel(Manywele) then yakatoweka kusikojulikana.

By coincidence hii ilikuwa 2015, tunaelekea uchaguzi. Then Mr. RA akahamia majuu, JPM is in power then in 2018 shares zake za Vodacom akazipiga bei.

RA mwaka jana karudi, kaenda ikulu kunywa chai na mazungumzo ya viwanda na uwekezaji(porojo). Mipango chap chap amemrudisha mzee Lumumba. Hii ni 2019 tunaelekea uchaguzi tena mwakani.

Hii series tuko Season ngapi vile? Ni mawazo yangu tu ya kijinga wana jamvi mnipuuze [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mkakunane sasa na aliyeweka haya makalio yake yenye upupu. Sisi hatuwakuni.
FF vipi mzee mwenzangu Leo? Mbona mambo ya kukunana yanakutoka double double, vipi uko kwenye heat nini?
Maana hiyo hali ikimfika mtu maneno maneno ya JF hayatoshi bila .......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha haimuoneshi Lowasa, bali mtoto wake anayeitwa Fred. Hata kama Fred Lowasa ndiye architect wa pesa chafu za mzee wake lakini ktk kadhia hii katajwa yeye Fred na si babaye.

Pia, kuhusu Chadema nafkiri post hii haina mlango wa kuingilia kwa Chadema. Anayway, kama hawakumhoji walikosea sana wao wanatakiwa kujua mtu wanayempa tiketi ya urais ubora na udhaifu wake kabla ya kumruhusu kugombania kiti cha urais.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mtandao wa MAFISADI kwa miaka nenda miaka rudi na lile kubwa la majizi nchini pale magogoni halitasema chochote kuhusiana na wizi huu mkubwa.

 
Facts ni hizi hapa boss nikuweke sawa
1. Scandal ilifika bungeni na kamati husika mwaka 2014/15 likaiamuru TRA walete majibu, wakaleta yakakataliwa wakarudishwa tena, kamati ikapigwa dana dana.
2. Hizo 650B ni kwa kipindi kati ya 2008 - 2012 sio mwaka mmoja. Na ukumbuke miaka hii kwa mitandao ya simu huduma ya voice ilikuwa inalipa zaidi ya data, tofauti na ilivyo sasa.
3. Miaka ya 2007, internet penetration ilikuwa zaidi ya 1M, labda kama umezaliwa juzi.
4. RA akiwa shareholder allegedly alihusika kuwa broker wa rushwa ya Shivacom to MD wa Voda.

Mavi ya kale sometimes bado huwa yananuka boss


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu achana na huyo Ajuza mchawi...tutafukua makaburi atake asitake. Halafu yuko huyu Peter Noni...yaani watu wale wale, ufisadi ule ule, CCM ile ileee...kinachobadilika ni sura iliyotinga Ikulu. Kwa mbali nakumbuka Peter Noni wa BOT na EPA. Baada ya kuisimamia EPA kwa ufanisi mkubwa na kuwezesha mabilioni kukwapuliwa na CCM na washirika wake, Kikwete akamhamishia TIB. Hebu tujikumbushe kidog ilikuwaje? Hii ni kutoka The Indian Ocean Newsletter Issue 1263 dated 06/06/2009...

Peter Noni at the head of the TIB
President Kikwete's decision to place a former advisor to the BOT's late governor Daudi Ballali at the head of the Tanzania Investment Bank is very controversial.

The credibility of the Tanzanian government's promise to fight against corruption at every level was hardly improved by President Jakaya Kikwete's decision to appoint Peter Noni to the post of managing director of the Tanzania Investment Bank (TIB).

He replaces William Mlaki, who has retired. Until then Noni had been the director of strategic planning of the Bank of Tanzania (BOT, central bank) and a close advisor to the late governor of the BOT, Daudi Ballali, who had been implicated in various affairs of misappropriation of public funds.

Although he had been close to Ballali at the time of the offences, Noni was one of the central bank's few top executives – along with the present deputy governor, Juma Reli – to escape the purges instigated by the new governor, Benno Ndulu.

There is another controversial point about Noni: he owns a substantial portfolio of equities and last year he partnered Rostam Aziz, an MP for the Chama cha Mapinduzi (CCM, government party) and controversial businessman, in an operation around Vodacom Tanzania.

Aziz and Noni tried to obtain a $20 million bank loan giving their respective stakes in Vodacom as collateral. But the deal did not go through and Noni subsequently sold Aziz the 16% stake in Vodacom that he owned jointly with his wife via the firm Planetel Communications.

However, Aziz was close to governor Ballali and benefitted from a certain amount of generosity from the BoT.

In his new job at the head of the BIT, Noni is in a position to recover and manage the 63 billion shillings (nearly € 33 million) siphoned out of the BOT's External Payments Arrear (EPA) now that Kikwete has commanded the guilty parties to return these funds to the BIT. Noni is therefore at both ends of the chain of a gigantic financial scandal
 
Mnachekesha kweli! Ngoja tusome movie zenu kwanza ...[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…