UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

hivi kati ya Baniani wa Tabora na yule wa YANGA, ni nani aliesomea mambo za kukwepa Kodi?
 
Asante sana mkuu kwa kututaarifu na sasa tumeshajua nini lowasa amemaanisha kuwa NIMERUDI CCM MSINIULIZE KWANINI...mwenye macho haambiwi tazama
In God we trust
 
Wapinzani sasa tushapata pa kuanzia baada ya kusafisha ukumbini kwetu sasa uchafu umehamia ccm
In God we trust
 
Jiwe kwa hela hata uwe na kesi gani ukimuonyesha tu noti anaimaliza fasta mnakuwa mabest .
 
Asante sana mkuu
In God we trust
 


Sikilizaaaaaa.. huu uwizi hata kama ulitokea, mtambo mpya ulikuwa bado haujaanza kufanya kazi.. Sasa hv tuna mtambo mpyaa hata kivocha kimoja tu kikiingizwa inajulikana na mapato halisi ni automatic.. Wadanganye CDM wenzako wenya akili za wale wanyama wa serengeti.. Sasa hv hakuna jinsi hata nukta kuibia serikali kupitia mitandao ya simu, iwe money transactions zote za mitandao ya simu au vocha au datas..!! TCRA sasa hv ni kama ulaya, no cheating ktk communications zooote..!!

 
Cc:Fayza Fox
In God we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…