UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Mbona Lowassa alipokuwa Chadema ulikuwa husemi haya! Au ulikuwa kipofu ulikuwa huoni wewe dada??
 
Ukikonect dots utagundua ni kwanini mafisadi wote wamekusanywa zizini
In God we trust
 
Sasa ndiyo tunaiibua sasa na hiyo ngoma lazime ivume hadi 2020 na ile ya RICHMOND
Before 2015 ; nakumbuka sana hii kashfa ya vocha feki za jero jero..

In God we trust
 
Hizi habari zinaanza baada ya Lowasa kurudi CCM, alipo kuwa CHADEMA kimya!
 
Huyo bimkubwa udini unamuumiza sana
Weka link hapa! Halafu tunataka tufahamu serikali ilichukuwa hatua gani?

Rostam Aziz na wenzake waliwajibshwa au walisingiziwa?

In God we trust
 
mbona ishu ya zamani hii.... hii skendo iliibuka kipindi cha mkwele na kama unakumbuka ndio pale zile vocha za voda zilizokuwa za karatasi jeupe unacha unakuta namba kati zikaacha kuyengenezwa

skendo ya muda mrefu sana kipindi hata magufuli hawazi kama atakuja kuwa raisi jaribu kuwa up to date ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii issue ya enzi ya jk usifikiri itakoroga watu enzi hii ya hapa kazi tu. Hayo mabwanyenye jpm anayatupa lupango tu siku hizi...Ngoja tuone bwanyenye rostam kama anajaribu kupanga upya timu yake kuteka tena ccm. Sioni jinsi jpm ataruhusu mabwanyenye fisadi kudhibiti tena ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…