Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
skendo ya mwaka 2012 sijui magufuli anahusikaje hapo... kumbuka zile vocha za voda za makaratasi meupe unabararua unakuta namba kati ziliacha kuuzwa liniUfisadi wa Magufuli haujapata tokea
Mimi kwangu ina mashiko sana, nataka kufahamu ilipoishia. Unachukia kwasababu Rostam ni muislam. Jiwe kakukuna kidude chako kizee?
Hata mama'ko hukunwa, kama unabisha muulize.
huwezi kutoa hoja bila kutoa tusi kwa heshima ya mawazo ya mwenzako tu, basi kma huwezi kufanya hivyo hii ni mara ya pili nakwambia, usifate fate ninachikiandika. usiwe una quote kila ninachokiandika, mfate Lowasa au Bwanako Mbowe, hivyo usinifate fate sana.Kweli wewe huna akili utamkaribishaje mwizi nyumbani kwako alafu ukwepe lawama?
In God we trust
huwezi kutoa hoja bila kutoa tusi kwa heshima ya mawazo ya mwenzako tu, basi kma huwezi kufanya hivyo hii ni mara ya pili nakwambia, usifate fate ninachikiandika. usiwe una quote kila ninachokiandika, mfate Lowasa au Bwanako Mbowe, hivyo usinifate fate sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuhishimu sana mama achana na ghadhabu hizi. Maneno hayo sio yako weye hata kidogoHata mama'ko hukunwa, kama unabisha muulize.
huwezi kutoa hoja bila kutoa tusi kwa heshima ya mawazo ya mwenzako tu, basi kma huwezi kufanya hivyo hii ni mara ya pili nakwambia, usifate fate ninachikiandika. usiwe una quote kila ninachokiandika, mfate Lowasa au Bwanako Mbowe, hivyo usinifate fate sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiandika upupu utakosolewa tu hili ni jukwaa huru na kama hutaki michango yangu fuata njia za kuepuka kuona michango yangu au hujui kutumia kompyuuta?huwezi kutoa hoja bila kutoa tusi kwa heshima ya mawazo ya mwenzako tu, basi kma huwezi kufanya hivyo hii ni mara ya pili nakwambia, usifate fate ninachikiandika. usiwe una quote kila ninachokiandika, mfate Lowasa au Bwanako Mbowe, hivyo usinifate fate sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
sikiliza mmawia siyo post ya kwanza kila nibacho comment unaniwrkea dharau hivyo, bora usi comment ninacho andika, hili ni jukwaa huru, heshimu mawazo ya kila mtu.Hivi nikikuambia kuwa huna akili utabisha?hapo kwenye post yangu wapi nimekutukana?Au kwenu mkikosolewa ndiyo matusi?wacha kunichimba mkwara wa gaikwadi wewe
In God we trust
sijawahi dharau michango yako wala kukuona huna akili hata siku moja. mi naheshimu wazo la kila mtu bila dharau ya kuona wengine kuwa hawana akiliUkiandika upupu utakosolewa tu hili ni jukwaa huru na kama hutaki michango yangu fuata njia za kuepuka kuona michango yangu au hujui kutumia kompyuuta?
In God we trust
Kama unajua ni jukwaa huru inakuwaje unanitisha wewe?nani kakwambia kuwa mimi baba yangu ni Mbowe kama siyo kunitukana?wewe nani kakupa mandate ya kunichagulia mzazi?sikiliza mmawia siyo post ya kwanza kila nibacho comment unaniwrkea dharau hivyo, bora usi comment ninacho andika, hili ni jukwaa huru, heshimu mawazo ya kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Facts ni hizi hapa boss nikuweke sawa
1. Scandal ilifika bungeni na kamati husika mwaka 2014/15 likaiamuru TRA walete majibu, wakaleta yakakataliwa wakarudishwa tena, kamati ikapigwa dana dana.
2. Hizo 650B ni kwa kipindi kati ya 2008 - 2012 sio mwaka mmoja. Na ukumbuke miaka hii kwa mitandao ya simu huduma ya voice ilikuwa inalipa zaidi ya data, tofauti na ilivyo sasa.
3. Miaka ya 2007, internet penetration ilikuwa zaidi ya 1M, labda kama umezaliwa juzi.
4. RA akiwa shareholder allegedly alihusika kuwa broker wa rushwa ya Shivacom to MD wa Voda.
Mavi ya kale sometimes bado huwa yananuka boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mtu anaye tetea huu ufisadi basi ujue naye ananufaika naoNyie mnaosema hii scandal sijui ya zamani bla blah blah, so what? Je ilipatiwa ufumbuzi? Kwani inaondoa vipi uhalali wa kushughulikiwa tena kwa maslahi mapana ya our motherland? Tegeta Escrow au EPA ilichukua muda gani kuanza mpaka kushughulikiwa?
Hili la Voda pia ni "another one" na wahusika ni wale wale tena now wanagonga cheers pale mjini kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimrkujibu kwa hasira baada ya kuniambia sina akili, so let it be....heshima iwepo, yameisha, sorry for that.Kama unajua ni jukwaa huru inakuwaje unanitisha wewe?nani kakwambia kuwa mimi baba yangu ni Mbowe kama siyo kunitukana?wewe nani kakupa mandate ya kunichagulia mzazi?
Jiheshimu nawe utaheshimika ukileta upumbavu na watu watakuletea upumbavu
In God we trust
nimrkujibu kwa hasira baada ya kuniambia sina akili, so let it be....heshima iwepo, yameisha, sorry for that.
Sent using Jamii Forums mobile app
internet penetration haikuwa juu kivile,na kulikuwa na hadi kifurushi cha jero kwa mwezi,mara nyingi watu walikuwa wanabrowse bila hata kujiunga na kifurushi,means internet ilikuwa cheap.Facts ni hizi hapa boss nikuweke sawa