Facts ni hizi hapa boss nikuweke sawa
1. Scandal ilifika bungeni na kamati husika mwaka 2014/15 likaiamuru TRA walete majibu, wakaleta yakakataliwa wakarudishwa tena, kamati ikapigwa dana dana.
2. Hizo 650B ni kwa kipindi kati ya 2008 - 2012 sio mwaka mmoja. Na ukumbuke miaka hii kwa mitandao ya simu huduma ya voice ilikuwa inalipa zaidi ya data, tofauti na ilivyo sasa.
3. Miaka ya 2007, internet penetration ilikuwa zaidi ya 1M, labda kama umezaliwa juzi.
4. RA akiwa shareholder allegedly alihusika kuwa broker wa rushwa ya Shivacom to MD wa Voda.
Mavi ya kale sometimes bado huwa yananuka boss
Sent using
Jamii Forums mobile app