UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Ni kweli miaka hyo hakukuwa na namna transparent ya kumonitor revenues za Telco na hii ndo jinamizi zaid sababu mwanya wa kupigwa ndo ulikuwa mkubwa.

Inawezekana 650B ni overstatement but actual money siphoned by Shivacom and their associates haitacheza mbali na hyo figure hapo boss.

Labda nikupe statistics kidogo tu, mwaka 2007(According to TCRA website) Vodacom ilikuwa na 3M+ subsribers and voice was generating 90% of revenue.

As of 2018, Vodacom Financial reports(tembelea website yao upakue), voice/airtime peke yake inagenerate close to 400B revenue kwa mwaka. What makes you think 10 years back wangeshindwa kugenererate 100B kwa mwaka from airtime/voice ukizingatia ndo ilikuwa biashara yao pekee kipindi hicho.

Rene Meza amekuja kakuta scandal ya Shivacom ipo mezani ya moto, akaingia akatulizwa na wadau. Na hyo scandal ya rushwa ndo ilomfanya akajiuzulu uMD.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kisa ni ya zamani Basi iachwe ujinga huu.

Huo muunganiko wa hao mapacha watatu wandengeleko wenzangu wanauchukulia poaa
Mbona kila mkija mnasema ni ya zamani? So what? Ina maana ndo haina mashiko? Au mlidhani kuzuia uhuru wa habari ndo yataisha. Yani ndo maana mkanuita RA ikilu mafisadi wakubwa mkijinadi eti nyie ni wapya! Stupid kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok,tufanye revenue ilikuwa bilioni 100 kwa mwaka,ok,weka miaka 6 juu,unapata bilioni 600,total revenue,sasa kama shivacom wameiba bilion 650,sasa nani alikuwa akilipa cost za kurun vodacom miaka yote hiyo iwapo shivacom amechukua pesa yote ya mauzo?
Ndo maana nasema hii kitu ni majungu,ndo maana haikuQualify kujadiliwa hadi kufikia conculsion na bunge,sikatai labda kweli ulifanyika upigaji lakini uko overated na hakuna namna mtu ataprove ukichukulia hakukuwa na mitambo ya kumonitor makampuni ya simu
 
Kwahiyo kwasababu kuna mtambo mpya, basi yaliyopiya sindwele tugange yajayo?

Same wine different bottle!
 
Amkaribishe Rostam Aziz ikulu wakanywe chai na haluwa!
Mkuu lakini tulikuwa tunalalamika wafanyabiashara wanaonewa then we went extra mile tukasema hata RA kaamisha biashara zake kapeleka Kenya.

RA amerudi tunalalama na kufukua makaburi ya mwaka 2012,je unafiki watanzania utaisha lini na kwanini ufukuaji uwe baada ya Edo kurudi CCM?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimefukuwa ama ni RA na Maghufuli?

Kwahiyo mmerudisha waendelee kupiga! Zile zilizoliwa ni makaburi. Kwahiyo wananchi hawaruhisiwi kuuliza kuhusu matumizi ya kodi zao. Ndiyo maana kama nchi imewashinda acheni uchaguzi huru! Si unakumbuka ni kwanini kule kwenye ile thread ya bank M nilikufananisha na kina jingalao, kipara kipya, MISULI, Lizaboni Laki Si Pesa na wengineo humu? Mashahidi wangu Kalamu1 na Mag3 .
 
Mkishindwa hoja mnakimbilia "udini".

"Udini" maana yake nini?
Huo ni ukweli, nani ameshindwa hoja ipi? Hoja yako wewe ni ipi? Kuwa Hii ni habari ya 2015 hiyo ni hoja? What a stupid argument!
 
Ila mkuu usisahau baadhi ya fungu kutoka kwenye huu ufisadi ulitumika na Edo kutumika kununua ticket ya kupitishwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia UKAWA.

Na kwa mwendo huu tunapoendea uko mbele ya safari zitaanikwa payslip au cheque kopi au video jinsi walivyokuwa wanawalipa viongozi wa juu wa CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Lowassa alipokuwa Chadema ulikuwa husemi haya! Au ulikuwa kipofu ulikuwa huoni wewe dada??
Wapi Lowassa ametwajwa? Fred Lowassa ndiyo Edward Lowassa? Au una makengeza?
 
Who cares! Nani kakwambia nina chama? Utakuwa umeanza kunisoma leo humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…