FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wapi "FaizaFoxy wakataka iungwe"?Hii habari haikuwataja kina Rostam ndiyo maana kina FaizaFoxy wakataka iungwe? Certainly kuna utofauti!
Boss Maxence Melo ebu tizama hili suala! Uamuzi wowote nitaridhika nao mkishatizama hoja yangu. Thread yangu haifanani kimaidhui na hii hapa! Pia habari yake haiko detailed kama niliyoiweka kutoka whistleblower press!
Unaota au unatafuta kiki?