UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Watz kumbukeni katka vocha ya elfu 1 unayonunua, unatumia 650/= tu 350/= ni kodi ya ongezeko la thamani/vat ambayo ndio inayowaweka mjini majoka yenye makengeza na wa mama wa milioni 10 za kisamvu.
 
Kazi tunayo! Haya ndo yaende ikulu? Hivi watanzania nani kawaloga? By the way, kama jk akisaini mwswada huo....doc kama hizi tutazipata tena? Wekeni nyingini haraka!
 
Nategeme Mengi kufichuliwa kabla ya uchaguzi wa October.
Ila mwisho wa Haya yote ni Nini.

1. Je hizo pesa zinarudishwa?
2. Mamlaka husika zinachukua hatua gani kuthibiti haya yasitokee tena?
3. Walio husika wanachukuliwa hatua gani? ( wao binafsi na kampuni zao)

4. Viongozi waliokuwa madarakani ktk taasisi za TCRA, TRA, PCCB wachukuliwa hatua gani kwa kufumbia macho na pengine kushiriki ktk wizi huu?

Inasikitisha Sana, na imeshazoeleka kuwa scandals zinaibuka lakini hakuna hatua zinazochukuliwa kwa wahusika, Hivi hiyo kodi waliyokula hayo MAJIZI ingejenga hospitali ngapi?mfn: nenda kwenye wodi za wanawake uone mateso wanawake wanayopata..zingejenga maabara ngapi?, watu hawana maji wa umeme, watu wanakufa kwa kukosa matibabu ya magonjwa sugu km saratini ili hali kuna MAJIZI yanakula hela kilaini tuuu...

I WISH AL-SHAABAB WANGEKUWA WANADEAL NA HAWA WATU TUU...

😡
 
Tunahitaji mapinduzi ya aina yoyote mradi tujikomboea.

Whether kupitia sanduku la kura au vinginevyo.

This is too much!
 

Wordpress ijiandae kufungiwa...imemgusa Lowassa, huyo Boss wao asubiri yaliyomkuta mwakyembe na mwandosya
 
Nilitaka kushangaa kama huyu MD wa TIB asingekuwa na skendo za rushwa na ufisadi. Huyu jamaa tena PCCB wamuangalie na ningekuwa nipo pccb ningekuwa nishatupa lupango huyu jamaa na washirika wake hapo TIB.

Peter Noni ni Tycoon zaidi ya hata huyo James Lugemalila...jamaa mkataba wake ukiisha huwa anaongezea..na analipwa mafao yake kila baada ya miaka 5 si chini ya Tshs. 1.5 Bilioni
 
Haiingii akilini for 5 years without Vodacom 's knowledege??????? Wakati kila siku mlikuwa mnazitangaza kwenye vyombo vya habari?? Kila sehemeu kulikuwa kuna mabango ya Voda Jerojero!!!!!!!!!!! Hebu sema ukweli naona kama unazunguka mbuyu hapa!!!!

Kuna fake vocha katika huo mradi. Vodacom hawakujua na hapo ndipo tatizo. Kama mtumiaji was Vodacom kuna wakati vocha nyingi za hero zilikuwa tayari zimetumika licha ya kuwa was kwanza kukwangua na kutumia.
 
Hapo anayetafutwa na kuchafuliwa ni lowasa kisa,fred anamiliki alphatel ili mje mseme hizo ndo hela anazotumia lowasa kufanyia kampeni,jamani mbona mnamuandama mzee wa watu bila sababu,gwajima alishawaambia

mtoto wa nyoka ni nyoka tu hawezi kuwa kunguru
 
Tunahitaji mapinduzi ya aina yoyote mradi tujikomboea.

Whether kupitia sanduku la kura au vinginevyo.

This is too much!

Wanaotakiwa kufanya kazi za kuzuia wizi nchini wameungana na ccm na watoto wao wanapiga hela
 
Wapwa zangu kama hamjapita mtaa huu basi mje haraka sana muone jinsi nchi yetu inavyofilisiwa zumbemkuu, Chakaza, Elli, MANI, Eli79, tpaul
Huwa nakaa najiuliza ni kwa nini Mwalimu Nyerere aliamua kujitwisha jukumu zito la kutaifisha mali za watu na kuitwisha serikali jukumu la kusimamia njia kuu za uchumi! Ukitafakali hapa unapata jibu na ni wazi watu kama hawa watapigana hadi tone lao la mwisho la damu kuhakikisha kuwa utawala uliowawezesha kufanikisha uharamia huu hauondoki madarakani maana ndio salama yao!

 
Hii ndio Tanzania!

Kwenye hizo documents, do I read TZS 188 million?

Na hizi billion 675 zipo wapi au ni estimate tu?
 

ndiyo maana mzee anamwaga fedha aende ikulu ili akamlinde mwanae na genge jingine la wahalifu ili waendelee kuifilisi nchi na kuwaibia wananchi maskini
 
Are you mad...??
By the time these things were happening..., how old was ''Fred Lowassa '' ...???!
Think u ''mchumia tumbo '' ...!

Poor arguement of the year.
Where is His excellence,Honourable Edward Ngoyai Lowasa implicated in this scandal?I want facts not those non-sense of yours.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…