Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Tulia wewe hapo shida ni CCM, CCM CCM, CCM...! Unafikiri hiyo scandal imepita hivihivi bila mikono michafu ya CCM na serikali yake? Rostam Alikua mweka hazina huko Magambani na shareholder mkubwa Vodacom, Tanil somaiya amehusishwa na deal nyingi zinazoitesa hii nchi ikiwemo RADAR... CCM wamo humo, Huyo Mwanasheria wake alishatimuliwa Uingereza Kufanya sheria kaja Tanzania hii ya Majizi ya CCM karuhusiwa Kupractice...Yes karuhusiwa kwa sababu maCCM yameamua kuifanya hii nchi corrupt kila mahali,....unajua Management board huko Vodacom ni kina nani? Fanya homework yako kisha urudi hapa kwanza hii muvie ndio imeanza... kaa mkao wa kula
Wenzako wameleta hoja hapo kuonyesha jinsi wizi ulivyofanyika,na katika article yote hiyo sijaona mahali CCM imetajwa.Kampuni zinazohusishwa na fraud ni zile ambazo si Rostam wala wenzake wanahusika.Kama Rostam ni shareholder wa vodacom ina maana kwa upande mmoja yeye ni mwathirika wa wizi huo maana wamemkosesha mapato.Ulisikia wapi mtu akajiibia mwenyewe?muda mwingine tuwe tunaufikirisha ubongo wetu kabla ya kukurupuka kuongelea vitu bila kutafakri.
Labda nikuulize katika hizo kampuni zilizotajwa,shivacom,planetel.Alphatel,wamiliki wake umewasoma hapo juu au umesoma juujuu tu?