UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

mzee hapa namba zilikataa. Huwezi gawanya namba jibu likawa kubwa zaidi ya namba iliyogawanywa. Yaani huwezi gawanya billion ukapata trilion labda ulizidisha

ha ha ha,kweli aisee,atakua amekosea
 
Hapo anayetafutwa na kuchafuliwa ni lowasa kisa,fred anamiliki alphatel ili mje mseme hizo ndo hela anazotumia lowasa kufanyia kampeni,jamani mbona mnamuandama mzee wa watu bila sababu,gwajima alishawaambia

Sasa kama ni kweli wasiseme kisa lowasa anahusika indirectly?
 
ndio hizi zinatumika kuhonga watu kwa ajili ya kwenda ikulu kampuni iliyoanzishwa na wezi siyo ya kuaminika hata kidogo
 
INGELIKUA YAMEFANYIKA NCHI ZENYE WANANCHI MATURED,, SERIKAL NA WAHUSIKA WANGENYONYWA MAVI KWA MLIJA.
Lkn Watanzania we are no matured enough.

Wajanja wanahaki ya kutenda hayo.

Inauma.....
 
Kama hajarudi kutoka ujerumani sijui kama Lowahasa atarudi, au mnadhani ana ngozi ngumu sana huyu musee.

Nasikia vizunguzungu, ma TCRA yamebung'aa tu!!! yakiambiwa wazuieni wasichonge mitandaoni yanatufuata huku jf.
 
The King maker in his place again, this is an abvious campaign money.
 
Tatizo sisi watz kila kitu ni kucheka cheka. Kwanini tusisusie bidhaa za hiyo kampuni. Maana serikali haiwezi kuchukua hatua yoyote, mahakama nazo ndio hivyo tena. Hebu tuamuke na kubadirika.
 
Duh. Mungu wangu! Kumbe masika hayajaanza. Yoote yalikuwa manyunyu!
 
Si ndo hapo mkuu! Hichi kijinga Nakapanya kinabishabisha kijingaa wakati hii ishu ndo inamfanya Lowassa amwage fedha za kuinunua ikulu kama kumwaga mchanga! Vijitu kama huyu Nakapanya dawa yao ni kuvinyongelea mbali! Na wakae wakijua kuwa Lowassa akiingia ikulu hii nchi haitatawalika na ndani ya siku chache tu kitaeleweka!

Hahaaaaa.damn you man,you know nothing.......endelea na umbumbumbu wako
 
ndio maana makamba anataka Sheria ipitishwe haraka ili watanzania tuendelee kuipiwa na tukose pa kuona Wizi kama huu.
 
Dah usitumie kichwa kufugia nywele tuu. Serikali imepoteza Mapato hapo, wananchi wameibiwa halafu wewe sijui hata unaandika nini? Nakuuliza tena hii Serikali inaongozwa na Chama gani?

Hahaa.....ngoja niwaache watu wenye mihemko.
 
Back
Top Bottom