Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Nimetembelea hiyo blog iliyotoa hii habari, sijaona habari yoyote tofauti na zile zilizokuwa zinatoka kwenye magazeti ya ThisDay na kulikoni enzi zile. Kablog kamejaa kashfa za tanil somaiya tu! Hii habari imejaa hearsay na vitu vingi humo ndani haviwezekani. Kumbukeni kuwa huko SA vodacom ni listed company, haiendeswhi kienyeji enyeji kama mwandishi anavyodai kuwa CEO anaweza kupiga fraud kama hili kimyakimya.
Ndugu yangu humu ndani kuna watu wamejaa mihemko tuu,wao wakisikia tu kitu hawafikirii mara mbili wanakurupuka tu na kuanza kumwaga ujinga wao.Yani wao akili zao wameshikiwa na watu wengine.