Mr Clean, info nzuri... Lakini kabla hatujaweza kuichambua mada hii naomba utusaidie kutuambia ni barabara gani hiyo unayoiongelea? Sababu hapo jamaa wanaweza wakawa na vielelezo kisha tukaonekana kwamba hatuna facts. Uzuri ukituambia ni barabara gani tutatafuta technical info na kutoa wazi hiyo "so called variation/cost overruns" ni ya kweli au girini tuu!! Pia hawa Kharafi kwa wale tulio katika construction industry tunwajua sana kwa mambo yao ya "kupiga mabao" lakini kwa hili hatuwezi kuwahukumu mpaka tujue kulikoni!!
Sisemi kwamba nakataa kwamba kuna mkono wa mtu kwenye hilo swala lakini siwezi kukubali sababu sina vielelezo.
Hili la pili la abortion ya hiyo tender at last minute naomba uangalie hii thread kwani tulishalijaribu kuliweka hapa ili tuambiwe ukweli lakini naona mambo yakawa patupu
soma
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8699
Ukweli ni kwamba lazima wote tujue kwamba katika miradi yenye pesa nyingi na migumu kuona mazingaombwe ni ya barabara... Nakumbuka kuna wakati ilifanyika Technical Auditing ya Road Funds ambapo nasikia (through the bomba) ni matumbo matupu yalionekana kule ndani (TANROADS, TAMISEMI, RFB, MOW)...... lakini bahati mbaya report wengi tuliisikia tu na sikusikia tena kama hii ilifanyika tena (iklikuwa mwanzoni mwa 2000s)....
Bottom line is ngoja tumalize kwenye BoT, TICTS, CIS tukimaliza huko then tutarudi kwenye hizi barabara zetu kuanzia quality, tender process, financial aspects kisha tuwasulubu wale waliokula mapesa yetu!!!