Ukitaka kila mtu awe anawasilisha matatizo kama hayo sehemu husika, sijui unataka JF tujadili nini.
Hii ni moja ya platform ya whistle blowing, wenye mamlaka wanawajibu wa kuwepo humu na sehemu nyingine za social media.
Dunia imebadirika, ni kidijitali zaidi. Ukisubiria barua, sijui simu. Utafeli sana.
Ukusanyaji wa taarifa huku ndio sehemu sahihi.