Ufisadi AUWSA TSh 36.3 bilioni kutokana na usimamizi mbovu na kutofuata Sheria za Manunuzi na Mikataba unaosababishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa AUWSA

Ufisadi AUWSA TSh 36.3 bilioni kutokana na usimamizi mbovu na kutofuata Sheria za Manunuzi na Mikataba unaosababishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa AUWSA

Ukitaka kila mtu awe anawasilisha matatizo kama hayo sehemu husika, sijui unataka JF tujadili nini.

Hii ni moja ya platform ya whistle blowing, wenye mamlaka wanawajibu wa kuwepo humu na sehemu nyingine za social media.

Dunia imebadirika, ni kidijitali zaidi. Ukisubiria barua, sijui simu. Utafeli sana.

Ukusanyaji wa taarifa huku ndio sehemu sahihi.
Upo Sahii… Dunia ni Digital kwa sasa… Mambo Ya barua ilikuwa ni Before born of computer ( BBC)
 
Back
Top Bottom