pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
Wanafunzi waliokuwa jkt waliambiwa watrudishiwa gharama zao za nauli walizotumia kwenda kwa kuangalia tiketi...matokeo yake hawajafuata tiketi wametoa kiasi pungufu na nauli aliyotumia mhusika.toka dar-tabora mtu ametumia tshs.45000/= wao wanarudisha tshs.30,000/=....tutafika kweli? Harafu wanadai inayobaki uandike jina utalipwa....wizi mtupu. Tutalipwa lini wakati tunaondoka kwenda vyuoni? Aaah acheni wizi bwana