Ufisadi mkubwa kuliko Richmond, Dowans na EPA utakao haribu kabisa ushindani katika ligi yetu

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Hii kampeni ya Yanga nyuma yake lipo jambo zito, lengo lao sio kupata hivyo vijisenti vyako, lengo ni kuitumia kutakatisha fedha kisha club kupata mgao wa mabilioni.

Kuanzia kwenye dirisha dogo mtashuhudia Yanga ikishusha wachezaji tegemezi toka Al Ahly, Mamelod n.k kisha watasingizia fedha za usajili zimetokana na tofali la ubingwa.

Ukweli ni kuwa fedha zimetoka bonde la ngorongoro, mgodi mkubwa wa almasi alioutaja polepole na kwenye rasilimali nyingine. Yaani kwakifupi kodi zenu zitakuwa zinainufaisha Yanga na mafisadi.

MBAYA ZAIDI BAADHI YA MASHABIKI WA SIMBA PIA NI WANUFAIKA HIVYO TEGEMEENI HUJUMA ZAIDI.

MSISAHAU KUPIGA KURA KWA MAMA YETU KIPENZI SSH.
 
hakuna rangi tutaacha kuona! hiyo 2030 tutafika tukiwa mahututi!
 
Tusubiri kuona hao kina mudau na shalulile wanatua yanga
 
Back
Top Bottom