Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
cc msabato Ntuzu
Ngoja niwaite hawa pia
Bansluma original
charminglady
Lawkeys
Ila nahisi huyu mketa mada ni Ntuzu
Huu ni unafiki aisee...
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cc msabato Ntuzu
Najua Ukweli huwa unatabia ya Kuumiza masikio na bongo za wahusika. Mkuu naona unatoka povu sana. Lakini kwa kifupi tu yaliyoandikwa humu ni katika hali ya kutafuta ukweli na uhalali wa umiliki wa mali hizo kwa ndugu yetu Denis Wairaha. Hata kama amechuku mkopo benki kw ushawishi kama wengi mnavyosema ni sawa lakini ingekuwa ni busara kulihalalisha hilo. Na tena basi ingelikuwa ni vyema kama angeweka wazi vipato vyake ili kuondoa ugubi ugubi huu.
Bado nasisitiza na nitaendelea kusisitiza kuwa kuna umuhimu wa kumchunguza ili kuelewa uhalali wa miliki za mali zake. Sijui kwa nini povu linakutoka namna hiyo ndugu Denis
Ngoja niwaite hawa pia
Bansluma original
charminglady
Lawkeys
Ila nahisi huyu mketa mada ni Ntuzu
Huu ni unafiki aisee...
Wewe ni Ntuzu.....Ningekuwa la laptop ningekuonesha viashiria vyako bwana Ntuzu......
Ngoja niwaite hawa pia
Bansluma original
charminglady
Lawkeys
Ila nahisi huyu mketa mada ni Ntuzu
Huu ni unafiki aisee...
Mkuu, unasema hutasoma content za habari hii, lakini naona umecomment kwamba awaache watu wa MUNGU wafanye kazi, jambo ambalo linathibitisha kuwa umeshasoma content za habari hii !!Sitasoma content za hiyo habari yako mpaka utakapoamua kutumia ID yako iliyozoeleka. Vinginevyo wewe ni mnafiki tu......waache watu wa MUNGU wafanye kazi waliyoitiwa kuifanya duniani...
Acha ujinga wako Wewe!
Mtu akiwa anakuheshimu unatakiwa na Wewe ujiheshimu Lkn ukijifanya fyatu utakuja kupakwa mpk JF uione chungu mnafiki mkubwa Wewe!
Wewe unafikiri wasabato mbulumunda km nyie wapagani Wa kiroma?
Jiheshimu!
Najua Ukweli huwa unatabia ya Kuumiza masikio na bongo za wahusika. Mkuu naona unatoka povu sana. Lakini kwa kifupi tu yaliyoandikwa humu ni katika hali ya kutafuta ukweli na uhalali wa umiliki wa mali hizo kwa ndugu yetu Denis Wairaha. Hata kama amechuku mkopo benki kw ushawishi kama wengi mnavyosema ni sawa lakini ingekuwa ni busara kulihalalisha hilo. Na tena basi ingelikuwa ni vyema kama angeweka wazi vipato vyake ili kuondoa ugubi ugubi huu.
Bado nasisitiza na nitaendelea kusisitiza kuwa kuna umuhimu wa kumchunguza ili kuelewa uhalali wa miliki za mali zake. Sijui kwa nini povu linakutoka namna hiyo ndugu Denis
Mnafki mkubwa huyu Msabato Mwema amejawa roho ya wivu, yaani angekuwa mchawi angeshamroga huyo jamaa. We kalia kupiga domo tu wenzako wanashughulisha vichwa!
Habari Wana JamiiForum na Wasabato wote Tanzania!
Kwa neema yake Mungu naomba tushirikiane na kuwaza kwa pamoja kama wakristo wano heshimu neno la Mungu kuhusiana na ubadhirifu wa unaofanywa na Mweka Hazina wa Adventist Tanzania Union Mission Ndugu Denis Wairaha.
Ndugu Denisi Wairaha, ndani ya miaka mitatu ya utumishi wake kama mweka hazina amefanikiwa kupata utajiri wa kupindukia wakati watumishi na waumini wa kanisa wakiendelea kuishi katika maisha duni. Kiongozi huyu ametumia muda wake mwingi kuchumia tumbo na si kuibua miradi itakayo leta ufanisi katika shughuli na kazi za kanisa.
Kwa mfano, ndani ya kipindi hicho kifupi, Denis Wairaha amefanikiwa kununua shamba kubwa la ekari 40 lenye thamani isiyopungua TZS 600,000,000/- milioni mia sita sawa na US$ 375,000/- lililopo Arusha maeneo ya Nduruma. Si kwamba hatupendi yeye kufanya ununuzi huu, LA HASHA! kwani ni kwa manufaa yake binafsi na familia yake, pia kama mtanzania ana kila haki ya kufanya maendeleo yake binafis, LAKINI, swali la kujiuliza, Kipatao chake kama mweka hazina kinamwezesha kufanya manunuzi hayo bila ya kuwa na njia za giza na rushwa? Katika kipindi hicho mpaka sasa Denisi Wairaha anapokea mshahara usiozidi TZS 700,000/- sawa na US$ 438/-
Vilevile, ndugu Denis Wairaha, amefadhiliwa na kanisa kujiendeleza kielimu katika level ya Masters ili kuongeza ufanisi katika kazi, lakini cha kushangaza baada tu ya kumaliza elimu hiyo ameamua kufanya uamuzi wa kuacha kazi. Hii inamaanisha kuwa, amelidanganya kanisa na wauumini wake au/na kutapeli pesa/sadaka za waumini kwa malengo yake binafsi yanayoshabiiana na hulka ya ubinafsi.
Pia, mtajwa hapo juu anamiliki daladala tano zilizopo katika jiji la Dar es Salaam.
Akiwa bado anaongozwa na pepo la kujimbikizia mali kwa manufaa yake binafsi na familia yake huku akiwa amejivika joho la kondoo mtakatifu wa bwana, mnamo mwaka 2013, ndugu Denis Wairaha chini ya mamlaka yake alifanya malipo ya Plot za kanisa zenye ukubwa wa ekari 9 jijini Dar es Salaam. Waumini na kanisa kwa ujumla tukaendelea kuaminishwa kuwa tuna ekari 9 Dar es Salaam kumbe SIVYO. Imekuja kugundulika kuwa ekari zilizo nunuliwa ni 5 TU na si 9.
Swali la kumuuliza ndugu yetu Denis Wairaha, ziko wapi ekari zingine 4? zilizogharamiwa na fedha/sadaka za waumini wa kanisa?
Pia Denis Wairaha amekuwa akihusishwa na kulalamikiwa mara kwa mara kwa kushiriki moja kwa moja katika kushawishi na kutoa ajira katika mazingira ya ukabila..yaani amekuwa akipendelea sana kuajiri watu wanotoka katika kabila lake la Wakurya na wakati mwingine kutokana na mazingira ya kazi yake na his God fathers amekuwa pia akitoa upendeleo kwa watu wa kabila la Wapare. Ukimuona machoni kama mtu lakini ndani ya moyo wake amejaa visasi, chuki, fitina na ubinafsi.
Ni bora ukutane na mchawi usiku kuliko kukutana na denis Wairaha mchana.
Maoni: Ninaelewa mfumo wa kulindana uliopo ndani ya kanisa letu, lakini ningependa kupendekeza kuwa Ndugu Denis Wairaha achunguzwe kabla ya kuacha kazi rasmi. Tupo tayari kutoa ushahidi usiopingika kuhusiana na maswala yote tajwa hapo juu.
Na kwa kuwa yeye, ambaye miaka nenda rudi amekuwa akijikweza na kujifananisha na kondoo safi kuliko wote, namuomba aje atoe ufafanuzi wa yote haya na/au kukanusha kwa uthibitisho.
Nawasilisha
Mkuu hawa watu wa hv ni wanafiki sana, hapa si tumemponda atafungua id nyingine aje atuambie anasali kanisa la shetani, au ni fremason. Subirini muone bora niende JLW nijue moja. Anasubutu kujiita msabato mwema hata maandiko yenyewe hajui. Refer maandiko ya Yesu juu ya mtu kujiita mwema
Unatetea wezi wenzako badala ya kufungua kesi...these are criminal accusations and something should be done!