Ufisadi Mkubwa Ndani ya Adventist Tanzania Union Mission-Unaofanywa na Ndg Denis Wairaha


Wewe ni Ntuzu.....Ningekuwa la laptop ningekuonesha viashiria vyako bwana Ntuzu......
 
Ngoja niwaite hawa pia
Bansluma original
charminglady
Lawkeys

Ila nahisi huyu mketa mada ni Ntuzu
Huu ni unafiki aisee...



Acha ujinga wako Wewe!

Mtu akiwa anakuheshimu unatakiwa na Wewe ujiheshimu Lkn ukijifanya fyatu utakuja kupakwa mpk JF uione chungu mnafiki mkubwa Wewe!

Wewe unafikiri wasabato mbulumunda km nyie wapagani Wa kiroma?

Jiheshimu!
 
Last edited by a moderator:
Wewe unafikiri hoja ya kinafiki km hii Mimi nichangie nini Zaidi ya kuwasubiri wajinga km Wewe tedo kukujibu ujinga utakaoumwaga hapa!? Mleta mada na Wewe tedo ni wanafiki wakubwa na ninasubiri kwa yeyote Yule atakeona hii imekua habari na Kuongea hovyo juu ya wasabato Ndio nimjibu sasa!
 
Last edited by a moderator:
Sitasoma content za hiyo habari yako mpaka utakapoamua kutumia ID yako iliyozoeleka. Vinginevyo wewe ni mnafiki tu......waache watu wa MUNGU wafanye kazi waliyoitiwa kuifanya duniani...
Mkuu, unasema hutasoma content za habari hii, lakini naona umecomment kwamba awaache watu wa MUNGU wafanye kazi, jambo ambalo linathibitisha kuwa umeshasoma content za habari hii !!
 
Who am I to judge???

Mie siwezi kucomment kuhusu hii mada either kukubali ama kukataa. Ila namuomba mtoa mada afuate utaratibu wa Kikanisa na aende mpaka ngazi za juu kuwasilisha suala hili. Wewe kama Muadventista huna haja ya kumuanika mshiriki mwenzako hapa.

"Ukimwona ndugu yako maekosa muonye, akitubu msaheme" Je wewe binafsi umechukua hatua gani kumfuata huyu Mtajwa kwa lengo la kumuonya???

Umechukua hatua gani ya kikanisa kuwafuata viongozi na kuwapa hizo evidence ili wamfuatilie????

Hakika huu sio utaratibu wa kikanisa...... Naungana na wengine kuwa wewe sio Muadventista Msabato bali ni mtu baki tu mwenye lengo la kulichafua kanisa.

 
Acha ujinga wako Wewe!

Mtu akiwa anakuheshimu unatakiwa na Wewe ujiheshimu Lkn ukijifanya fyatu utakuja kupakwa mpk JF uione chungu mnafiki mkubwa Wewe!

Wewe unafikiri wasabato mbulumunda km nyie wapagani Wa kiroma?

Jiheshimu!

Kwi kwi kwi.....Mm nimekuita tuu....Ila muandiko wake kama wa kwako....
 
Wachungaj matajil waumini masikini
wa2mish wa mungu oyeee
Waumini hoiiiii
 
makanisani si huwa kuna sanduku la maoni?
 
That's why i say if it were not for tithes,churches would have died millenniums ago.
 


Basi nenda TAKUKURU, unaogopa nini ikiwa wewe ni mikweli? Kumbuka hata Yesu huyo unayedhani unamtetea alikuwa anawaambia mafarisayo na walimu wa sheria ukweli mpaka wakaamua kumuua. Kumbuka yeye anasema alisema nao waziwazi kwenye masinagogi na hekaluni (Yoh 18:20-21).

Kama huwezi kaa kimya maans itkuwa ni unafiki na majungu tu!
 
Hii habari inanikumbusha ya ndugu fulani alikuja hapa na ID 2 tofauti kutoka Chuo kile Kigamboni nimesahau jina lake.Kila siku alikuwa anakuja ku-update matatizo kati ya ke na mwajiri wake matokeo yake akapigwa chini.Personally mimi si muumini wa vitu nyeti kama hivi kuja kuvitoa kwenye social forums kwa sababu hautapata majibu.
 
Nakuomba pia maelezo haya uyatume hapa kama ni kweli: info@tuadventist.org
Lakini pia malalamiko hebu yapeleke kanisani kwanza kabla ya kuyatupa kwa umma maana tunaambiwa mambo ya kanisa mjadili kanisani na ikishindikana ndiyo uyalete kwetu Jamiiforums au hata mahakamani apelekwe maana kama ni kweli huyu ni mwizi kama wezi wengine.
Huo mshahara nao unasababisha watu wawe wezi laki 7 tu tena mhasibu? mbona makanisa ni tajiri jamani lipeni watu wa Mungu muwaepushie vishawishi
 
Mnafki mkubwa huyu Msabato Mwema amejawa roho ya wivu, yaani angekuwa mchawi angeshamroga huyo jamaa. We kalia kupiga domo tu wenzako wanashughulisha vichwa!

Unatetea wezi wenzako badala ya kufungua kesi...these are criminal accusations and something should be done!
 
Last edited by a moderator:

...na uongozi wa kanisa umechukua hatua gani mpaka sasa?
 

Suala si kujua maandiko tu bali pia ni kuenenda kulingana na hayo maandiko yenyewe..huyu jamaa kaleta shutuma kazi sasa ni kwa uongozi wa kanisa kufanya uchunguza kuweza kubaini kama ni kweli ama uongo tu!
 
Unatetea wezi wenzako badala ya kufungua kesi...these are criminal accusations and something should be done!

Mwambie huyo mwenye wivu mwenzako afungue kesi kama anao ushahidi, au mwambie aweke jina lake la ukweli kama hajaozea jela maskini mkubwa wa fikra huyo! UNA TATIZO NA MTU FUATA NJIA SAHIHI, SIYO UNAKUJA KUMHUKUMU JF LIKE SOME COWARDASS RETARD!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…