Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ukuta upo vizuri na ujenzi unaendele atua ulipofikia ni kuvuka msingi mkuuUnaozunguka manispaa..jengo la manispaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukuta upo vizuri na ujenzi unaendele atua ulipofikia ni kuvuka msingi mkuuUnaozunguka manispaa..jengo la manispaa.
nashukuru kwa kunielewesha lakini ujenzi unaendelea na zoezi nila mchakamchakakuzunguka office za manispaa ya moshi
umeona aina za tofali zinazotumika katika ujenzi,ukuta kutumia mamilioni ni sawa mkuu bei ya saruji unaifahamu kwa sasa kutengewa mamilioni ni dhambi...tofali si za kuchoma zile mkuuNdio imezungushiwa, na ukuta umefika Robo na kusimamishwa baada ya fedha karibu zote kuliwa:
Unajengwa ukumbi mpya wa Manispaa hapa Garden nao ufisadi wake hausemeki, Yaani kiongozi anajenga manispaa huku anamalizia nyumba yake Shirimatunda.
najuta, Juma ni mpigaji toka anasoma Mawenzi Secondari na hakumaliza shule, Mwaka 1998 aliacha akiwa form three, ni shida na amepiga matukio sana pale mkoani hasa magari, mahakamani wanafahamu, watoto wa mjini wana mauza uza mengi, nawaachia wana kilimanjaro muamue wenyewe.Tatizo ni watu wa Moshi kukubali kuwapa umeya akina Juma na Zuberi! Mnategemea nini watu hawa wakishika madaraka kama sio kuuza kila kitu kilichopo?! Si mmeona?
ujenzi umesimamishwa kwa kashfa ya wizi wa mamilioni, aliyeiba anajenga nyumba shirimatunda pale baada tu ya daraja la bonite.nashukuru kwa kunielewesha lakini ujenzi unaendelea na zoezi nila mchakamchaka
Labda aseme ukuta wa ofisi ambao ukipita ukiangalia ni ukuta mzuri umeparemba sio siri japo gharama sizijuiunachuki na meya si bure..kuna mahali sijakuele "ku-jenga ukuta kwa mamilioni, kuzunguka Manispaa ya Moshi, gharama iliyotumika ni kubwa mara tatu ya gharama halisi,;"
manispa ya moshi inazungushwa ukuta?.haya ndio majabu ya firahuni sasa
Tofali zimesimamishwa , hazijalala na ukitaka picha unaletewa hapa sasa hivi:umeona aina za tofali zinazotumika katika ujenzi,ukuta kutumia mamilioni ni sawa mkuu bei ya saruji unaifahamu kwa sasa kutengewa mamilioni ni dhambi...tofali si za kuchoma zile mkuu
mkuu kama hutojali weka hizo picha hapa.tofali zimelazwa na msingi uzuri hadi sasa haujafukiwa kwennye badhi ya maeneo nondo zimetumika, tofali za kiwango cha juu kama huzijui unaweza kufikiri ni za miamba za kuchongaTofali zimesimamishwa , hazijalala na ukitaka picha unaletewa hapa sasa hivi:
Nina kijana wangu hapo manispaa anatuma picha hapa na majina ya waliopiga fedha na nyumba wanazojenga Shirimatunda, Saa sita njoo hapa Aikama Food , NSSF Building nikupe maelezo zaidi kama unataka:
NOTE:Unatetea ufisadi kwakuwa ni mwana CCM na hata avater yako, huku chini umesema CCM NI MAMA YAKO NA BABA YAKO, sitegemei ukiikana ufisadi, umekulia humo.
Ume -counter, wewe ndio uweke.mkuu kama hutojali weka hizo picha hapa.tofali zimelazwa na msingi uzuri hadi sasa haujafukiwa kwennye badhi ya maeneo nondo zimetumika, tofali za kiwango cha juu kama huzijui unaweza kufikiri ni za miamba za kuchonga
punguzeni porojo na maneno ya kuambiwa na watu wasio wausika
wacha uzushiUme -counter, wewe ndio uweke.
Narudia, upande huu wa UCHUMI, NSSF BUILDING, upande wa uhuru garden na ule wa chini ukuta upo very low quality.
Kama na wewe ni mmoja wa hawa madiwani, tema ndoano, hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe, maeneo ya wazi mliouza mtarudisha; Vibali vya ujenzi mtavifuta na haiweΩekani kwenye mji mnaotaka uwe jiji mnatoa vibali kujenga nyumba ya chini.
Pale opposite na mawenzi hospital.
Hoja hupingwa kwa hoja, Moshi itasimama tu, huu ufisadi mnaopiga hii miaka 7 sasa, am telling you ndugu diwani, bwana NKINDA mtazitapika; Vitabu na hesabu zitasema;wacha uzushi
Nashukuru Mzawa umeona hilo, na wasifikiri wananchi wa Moshi hawajui wala hawafuatilii, Mwakani watajibiwa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, aliyewabeba hayupo, kila mtu afe kivyake na kesi za uhujumu uchumi zitafuta.Gharama za ujenzi wa uzio (ukuta wa tofali za kawaida ambao hauna hata plasta) wa ofisi za manispaa ya moshi ni zaidi ya milioni 900.
Pesa ambayo ingetosha kubomoa hizo ofisi na kujenga ofisi mpya za kisasa plus uzio na chenji kubakia.
CCM ni zaidi ya saratani.