Ufisadi mpya chama cha mawakili

Ufisadi mpya chama cha mawakili

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
TLS kwa muda mrefu hasa watumïshi wake wamekuwa na fedha nyingi tofauti na mishahara yao ya 1.5 mpaka 2.5 milion.

Wanapïa hela kwenye mikutano ya mwaka na nusu mwaka AGM, HAGM.

Wanapokea hela toka kwa mawakili wanaotaka point(mawakili wanapata point)
mfano wiki ijayo mkutano upo Mount Meru Arusha,na ada ni Laki moja tu - Tsh 100,000/= lakini hawa "wapïaji wa TLS wanapokea tsh 150,000/= wanakuandikishia jina na hapo kwa kila wakili wanapiga Tsh 50,000/=.

Law Firm nyingi zinatuma mtu mmoja anawalipia ofisi nzima na kutoa rushwa kwa hawa watu wa registration.

Namkumbuka Lissu hangefumbia haya mambo macho,basi Ngwilimi naye naye apambane na huu ufisadi,akitaka hata majina tutampa na akitaka majina ya watu ambao hawajahtdhuria lakini majina yao yapo kama wahudhuriaji tutampa tu.

mawakili wa mwendokasï na viherehere ndio waharibifu,nobelity yenu inashuka sana,senïority haipo mmekuwa kama wauza karanga,naomba kwa dharura GC muwafunge gavana hawa watumishi.
kwa majina yao njoo PM.

Wasalaam , JM.
 
Wewe unajiita jaji mfawidhi kwanini usichukuwe hatua na badala ya kuchukuwa hatua za kisheria unabwabwaja na kuhororoja tu humu, kwanini usiende takukuru?
Hawa ni majaji wa kibanda cha mkaa,niliouna hapa ni umbea zaidi ya hoja,uandishi tu unatia shaka kama kweli huyu bwana amehitimu
 
Back
Top Bottom