Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Leo hii sisi CHADEMA tunafuatiliwa na Tiss kwa kila nyendo zetu. Tukiandaa mikutano ni kosa, tukipata misaada ni kosa hata tukipata sapoti tu hawa Tiss wanatufuatlia kila kona.
Lakini huwezi kusikia wanafuatilia ufisadi unaofanyika hapa nchini.
Angalia ripoti ya CAG imeanika madudu makubwa na machafu. Kila kona ya serikali ni ufisadi wa kutisha. Hatujasikia Tiss wakilisaidia taifa letu. Tulitegemea wanaoliibia taifa letu waanikwe wazi
Hili la Dp world na kuuzwa bandari za Tanganyika wapo kimya kabisa. Kwa nini hawasemi chochote kwa kuanika waliokula mlungula kuuza bandari za Watanganyika?