Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Walifanywa kuwa wapendwa watazamaji na sheria iliyounda idara yao wakati ule wa kuuza mali za umma kwa jina maarufu la SPA; Kwa hili Baba wa Taifa aliondoka duniani akiwa na simanzi sana kwakua alijua kwisha habari ya Tanzania yake aliyoipigania kwa miaka yake yote huku duniani na mzee wa Lupaso Mungu amsamehe kwakukubali kusababisha hili kwakua alijua alichokuwa anafanya kufanikisha hiyo azma yake ya uuzaji wa mashirika yetu....Mabeberu shikamoo!Pengine hawatambui maslahi ya Taifa.
Au wanaogopa kulingana na sheria zinazoongoza idara yao kwa sasa.
That's why wanataka kutungiwa sheria mpya.
InawezekanaNaweza sema kwamba ni usalama wa taifa wanaweza wasije wanahusika. Inawezekana wakapeleka mapendekezo na kiongozi akayakataa kwa sababu zake mwenyewe.
Tatizo ni CCM wote ni majizi. Kuna fisadi gani amechukuliwa hatua stahiki.. Cha kusiitisha mafisadi ndio wanaokula teuzi kila kukichaLeo hii sisi CHADEMA tunafuatiliwa na Tiss kwa kila nyendo zetu. Tukiandaa mikutano ni kosa, tukipata misaada ni kosa hata tukipata sapoti tu hawa Tiss wanatufuatlia kila kona.
Lakini huwezi kusikia wanafuatilia ufisadi unaofanyika hapa nchini.
Angalia ripoti ya CAG imeanika madudu makubwa na machafu. Kila kona ya serikali ni ufisadi wa kutisha. Hatujasikia Tiss wakilisaidia taifa letu. Tulitegemea wanaoliibia taifa letu waanikwe wazi
Hili la Dp world na kuuzwa bandari za Tanganyika wapo kimya kabisa. Kwa nini hawasemi chochote kwa kuanika waliokula mlungula kuuza bandari za Watanganyika?
Una uhakika na unachosema?Leo hii sisi CHADEMA tunafuatiliwa na Tiss kwa kila nyendo zetu. Tukiandaa mikutano ni kosa, tukipata misaada ni kosa hata tukipata sapoti tu hawa Tiss wanatufuatlia kila kona.
Lakini huwezi kusikia wanafuatilia ufisadi unaofanyika hapa nchini.
Angalia ripoti ya CAG imeanika madudu makubwa na machafu. Kila kona ya serikali ni ufisadi wa kutisha. Hatujasikia Tiss wakilisaidia taifa letu. Tulitegemea wanaoliibia taifa letu waanikwe wazi
Hili la Dp world na kuuzwa bandari za Tanganyika wapo kimya kabisa. Kwa nini hawasemi chochote kwa kuanika waliokula mlungula kuuza bandari za Watanganyika?
Hili nalo neno.Tatizo katiba mbovu.yeyote anayeteuliwa hawezi kuenda kinyume na bosi anavyotaka hata kama ni upuuzi.Kwa tanzania ukiondoa vyama pinzani hakuna mtu yeyote anayeweza kupata ujasiri wa kumwambia rais ukweli kuwa amekosea .wote huwa wanasifu tu.
Halafu group la wateuliwa ni wale wale koo zile zile na familia zile zile miaka nenda miaka rudi.Tatizo ni CCM wote ni majizi. Kuna fisadi gani amechukuliwa hatua stahiki.. Cha kusiitisha mafisadi ndio wanaokula teuzi kila kukicha
Tiss ya sasa hivi imejaa vilaza toka uvccm ni kama panyaroad tu hawana weledi wowoteLeo hii sisi CHADEMA tunafuatiliwa na Tiss kwa kila nyendo zetu. Tukiandaa mikutano ni kosa, tukipata misaada ni kosa hata tukipata sapoti tu hawa Tiss wanatufuatlia kila kona.