Ufisadi na utawala mbovu wa CCM unalisababishia hasara taifa letu kupitia maandamano ya wanaotaka mabadiliko

Ufisadi na utawala mbovu wa CCM unalisababishia hasara taifa letu kupitia maandamano ya wanaotaka mabadiliko

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Bila kuwa na utawala mbovu uliojaa mafisadi papa na wapigaji waliojaza watoto wao kwenye kila kona ya serikali leo hii haya tunayoshuhudia yasingelitokea.

Jana shughuli za kiuchumi sabasaba zilisimama. Mama ntilie, wamiliki wa mabasi, daladala , mabaa na kila shughuli ya kuingiza kipato haikufanyika kisa tu hofu ya maandamano ya kuwaondoa mafisadi wa CCM. Yote hii ni sababu ya ufisadi na kuwa na roho ngumu ya uchu wa mdaraka.
 
CCM wamefiki mwisho.Mda wowote we tegemea kuona.
Alafu bado ijapatikana Sababu cha kuwaondoa.

Unakumbuka Algeria ni mtu tu alichoka na mambo yakaanzia hapo hapo.
 
Back
Top Bottom