Ufisadi, nepotism na uchu wa madaraka ndio tatizo kubwa hapa nchini

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hapa ndipo nimeona hawq jamaa hawajitambui na wanachowaza ni ugali na nama tu

Yaani wanasema tatizo ni vijana kutokuwa na ajira sekta rasmi au isiyo rasmi

Juzi kati nikaona mkuu wa mkoa Tabora anamnunulia kijana Viatu.

Waziri aliyepewa hii kazi anazungula vijiweni kupiga soga na vijana.

Wanasahau ukweli kwamba, ufisadi, nepotism na uchu wa madaraka ndio tatizo kubwa hapa nchini.
 
Kwahiyo ukosefu wa ajira sio tatizo ?
 
We unaonaje?

Vijana wasomi GEN Z wao wanataka ajira .

Vijana GEN Z ambao sio wasomi wanataka uwezweshaji Kama mikopo , n.k

Wanasiasa Kama Lissu wanataka katiba Mpya .

So ni vizuri tukajua tunahitaji nini ambacho kikipatikana tutaweka nchi katika ustawi wake .

Ila huyu anaongea hivi mwingine vile
 
Hapa ndipo nimeona hawq jamaa hawajitambui na wanachowaza ni ugali na nama tu

Yaani wanasema tatizo ni vijana kutokuwa na ajira sekta rasmi au isiyo rasmi

Juzi kati nikaona mkuu wa mkoa Tabora anamnunulia kijana Viatu.

Waziri aliyepewa hii kazi anazungula vijiweni kupiga soga na vijana.

Wanasahau ukweli kwamba, ufisadi, nepotism na uchu wa madaraka ndio tatizo kubwa hapa nchini.
Screenshot_20251130-084956~2.png
 
Vijana wasomi GEN Z wao wanataka ajira .

Vijana GEN Z ambao sio wasomi wanataka uwezweshaji Kama mikopo , n.k

Wanasiasa Kama Lissu wanataka katiba Mpya .

So ni vizuri tukajua tunahitaji nini ambacho kikipatikana tutaweka nchi katika ustawi wake .

Ila huyu anaongea hivi mwingine vile
Ukiwa na Katiba imara ambayo itaondoa madhaifu ya hii ya kwenu CCM ya mwaka 1977 kila kitu kitakaa sawa. Kuanzia ajira mpaka kudhibiti ufisadi
 
Constant elevation causes expansion.

Jambo ukilipambania kwa muda mrefu utalipata

Hivyo GEN Z badala ya kuongea ongea wafocus na KATIBA

Hizo habari nyingine waachane nazo tofauti na hapo itakuwa ngumu kufanikiwa.
 
Toa upuuzi wako. We una elimu gani?
 
Back
Top Bottom