Hapa ndipo nimeona hawq jamaa hawajitambui na wanachowaza ni ugali na nama tu
Yaani wanasema tatizo ni vijana kutokuwa na ajira sekta rasmi au isiyo rasmi
Juzi kati nikaona mkuu wa mkoa Tabora anamnunulia kijana Viatu.
Waziri aliyepewa hii kazi anazungula vijiweni kupiga soga na vijana.
Wanasahau ukweli kwamba, ufisadi, nepotism na uchu wa madaraka ndio tatizo kubwa hapa nchini.
We unaonaje?

Ukiwa na Katiba imara ambayo itaondoa madhaifu ya hii ya kwenu CCM ya mwaka 1977 kila kitu kitakaa sawa. Kuanzia ajira mpaka kudhibiti ufisadiVijana wasomi GEN Z wao wanataka ajira .
Vijana GEN Z ambao sio wasomi wanataka uwezweshaji Kama mikopo , n.k
Wanasiasa Kama Lissu wanataka katiba Mpya .
So ni vizuri tukajua tunahitaji nini ambacho kikipatikana tutaweka nchi katika ustawi wake .
Ila huyu anaongea hivi mwingine vile
Constant elevation causes expansion.Ukiwa na Katiba imara ambayo itaondoa madhaifu ya hii ya kwenu CCM ya mwaka 1977 kila kitu kitakaa sawa. Kuanzia ajira mpaka kudhibiti ufisadi
Toa upuuzi wako. We una elimu gani?Constant elevation causes expansion.
Jambo ukilipambania kwa muda mrefu utalipata
Hivyo GEN Z badala ya kuongea ongea wafocus na KATIBA
Hizo habari nyingine waachane nazo tofauti na hapo itakuwa ngumu kufanikiwa.
Mimi darasa la 7 mkuu basi tuseme upo sahihiToa upuuzi wako. We una elimu gani?