KWETU PAZURI
Senior Member
- Oct 14, 2011
- 157
- 26
Nyaraka zinaonyesha bodi ya mikopo ilikabidhi fedha za wanafunzi kwa chuo tarehe 16/12/2011, lakini hadi leo hii wanafunzi hawajapewa fedha zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlacha kazipeleka kwenye sekondari yake, pumulieni mashine vijana, ndo madhara ya ushemeji na JK
Afadhali kwanza sikukuu zpite maana mngesu mjini na viela vya mkopo, kwanza mungeishiwa mapema na hizi sikukuu. bora

piga kibiriti pale bodi ya mikopo watapata adabu sio kutishia nyau tu
Afadhali kwanza sikukuu zpite maana mngesu mjini na viela vya mkopo, kwanza mungeishiwa mapema na hizi sikukuu. bora
Nyaraka zinaonyesha bodi ya mikopo ilikabidhi fedha za wanafunzi kwa chuo tarehe 16/12/2011, lakini hadi leo hii wanafunzi hawajapewa fedha zao
una uhakika?Mlacha kazipeleka kwenye sekondari yake, pumulieni mashine vijana, ndo madhara ya ushemeji na JK