Ufisadi: Profesa Mtanzania aajiriwa kama dereva, ubalozi wa Kenya

Mkuu
Kutengeneza apps/software ni kitu rahisi lakini apps/software iweze kukuingizia pesa kama jamaa waliogundua M-PESA mpaka Safaricom ya Kenya wanamlipa mwenye M-PESA pesa nyingi kwa kuwa ni mmiliki wa teknolojia hiyo ni habari nyingine.

Inabidi ucheze kama Profesa anavyokaba na kuingia kila kona mpaka kieleweke ili afanikiwe aingize pesa ndefu kama mfano M-PESA niliotaja jinsi wamiliki wa M-PESA wamejikalia ulaya wakisuburi kuvuna percentage ya income toka kila miamala (transactions) ya matumizi ya M-PESA kupitia platform ya Safaricom.
 
Ok. Kama hilo ndo lengo lake, anapoteza muda bure.
 
Hahahahahaha Huyo profesa angekua ni mkenya kaja kuwa dereva bongo ungeskia wakenya wanasema sisi manyang'au hatuchagui kazi kila kazi tunafanya nyinyi wabongo si wavivu acha sisi tufanye kazi zote " lakini Leo mtanzania yupo Kenya wanamshangaa Sasa Wewe kisomo chako kiduchu unamdiscuss profesa wa watu wakati usikute ata kipato anakuzidi
 
The real definition of hustle that our brothers have to contend with majuu, bora hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…