Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Habari za mchana kwa kila mmoja!
Tumekuwa tukisikia PM Kassim Majaliwa akiwahoji watu mbali mbali juu ya upigaji katika maeneo tofauti aliofanya ziara. Mifano:
1. Alipofanya ziara katika halmashauri ya jiji la DSM alihoji juu ya upigaji wa mabilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema mabilioni ya walipa ushuru na tozo za halmashauri.
2. Alipofanya ziara katika makao makuu ya wizara ya fedha, alihoji juu ya upigaji wa mamilioni ya pesa za walipakodi.
3. Alipofanya ziara katika halmashauri ya jiji la ARUSHA alihoji juu ya upigaji wa mamilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema mamilioni ya walipa ushuru na tozo za halmashauri.
4. Alipofanya ziara katika halmashauri ya wilaya ya Manyoni alihoji juu ya upigaji wa mabilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema mamilioni ya walipa ushuru na tozo za halmashauri.
5. Alipofanya ziara katika halmashauri za mkoa wa Tabora alihoji juu ya upigaji wa mamilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema mamilioni ya walipa ushuru na tozo za halmashauri.
6. Na wiki hii amekuwepo katika halmashauri za mkoa wa Pwani akihoji juu ya upigaji wa mamilioni ya pesa za halmashauri hiyo au ukipenda sema mamilioni ya walipa ushuru na tozo za halmashauri.
Ni upigaji juu ya upigaji. Waziri Mkuu anahoji huku, kule kuna wanaoendeleea na upigaji. Kwanini?
Wapigaji wameamua liwalo na liwe? Je PM Majaliwa ana backup ya kutosha katika vita dhidi ya upigaji?
Je, Wakuu wa mikoa na Wakuu wa wilaya hawapati taarifa za intelligensia katika maeneo yao?
Kwanini TAKUKURU hawachukui hatua katika maneo yao? Ni hadi PM afanye ziara?
Je, Rais na Makamu wake wanakerwa kweli kweli na upigaji huu katika ngazi ya halmashauri, ambako ndicho kiunganishi(link) kati ya serikali kuu na wananchi?
Je, viko wapi vyombo vyenye dhamana ya kulinda nguvu za serikali na dola? Ile dhana ya serikali ipo kila sehemu iko wapi?