nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,055
- 3,120
Huyo Jonas Kiwia ni yule aliekuwa akiishi Washngton DC,ndio kaamua kuja kujichafua kwenye soka la Bongo?
Jonas Kiwia wasalime Washngton by Pro Jay, daah nimelikumbuka hili jina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Jonas Kiwia ni yule aliekuwa akiishi Washngton DC,ndio kaamua kuja kujichafua kwenye soka la Bongo?
Jonas Kiwia wasalime Washngton by Pro Jay, daah nimelikumbuka hili jina
Kiwia aliyetajwa na Pro Jay sio huyo wa TFF. Naona majina yamefanana tu sababu wa TFF yupo ofisi hiyo tangu 2010
Kazi ipo....Chezea watu wa kanda ya rugemarila.
Yani hapa malinzi pale mwesigwa perfect combo ya kanda maalum ya rugemarila
Huyo Jonas Kiwia ni yule aliekuwa akiishi Washngton DC,ndio kaamua kuja kujichafua kwenye soka la Bongo?
Mpira wa Tanzania ni kichefu chefu kabisa,khraaaaah!!!Mambo ya mpira ndivyo yalivyo. PCCB walikuja juu pale Aveva wa Simba Sports Club alopohamisha mamilioni ya pesa za klabu kuziingiza kwenye akaunti yake binafsi. Wadau wa mpira tuliamini PCCB walikuwa serious. Nani kasikia mwisho wa ile saga? Ni wazi imezimwa kwa nguvu ya pesa!!!