Ufisadi training college

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Inakutangazia kozi zifuatazo:- 1-Wizi wa kura, 2-Kutumia vyeti feki, 3-Kulipa mishahara hewa, 4-Kuanzisha makampuni feki. Chuo kitakupeleka field EPA, BOT, JWTZ, IKULU na utaajiriwa na makampuni ya RICHMOND, DOWANS, KAGODA, MEREMETA, TANGOLD. Chuo kimetoa wahitima kama LOWASA, KARAMAGI, MRAMBA, CHENGE,JEETU PATEL, IBRAHIM MSABAHA, ROSTAM AZIZ, WILIAM NGELEJA, DAUD BALALI, DANIEL YONA. wahi nafasi ni chache
 
BAVICHA baada ya kula visungura ndio huwaza haya

USSR
 
Mmh!

Bandiko hili ni la Mwaka 2011 lakini comments ni 4 tu hadi Sasa na viewers ni zaidi ya 1000 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…