Ufisadi wa CCM: Daraja la mawe na cement limegharimu mil 200. CCM haifai.

Lakini linapendeza japo mimi naona lina thamani ya Milioni 80.
 
Hapo ni mil 100 hadi 200 ,madaraja yanagharama ......angalia madaraja yote yanayojengwa gharama zinatisha .........mfano la busisi bilioni 700
 
Hapo ni mil 100 hadi 200 ,madaraja yanagharama ......angalia madaraja yote yanayojengwa gharama zinatisha .........mfano la busisi bilioni 700
Mawe ya kuokota milimani. Na vifusi vya milimani. + cement
 
Pale kiongozi Hana speed gavana na kumsimamia vizuri hata wateule Huwa na fujo hivyo hivyo!

Matokeo yake ndio haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…