Ufisadi wa CCM: Daraja la mawe na cement limegharimu mil 200. CCM haifai.

Ufisadi wa CCM: Daraja la mawe na cement limegharimu mil 200. CCM haifai.

Najua pesa nyingi zimeenda kuhonga iPhone15 bint zetu wa chuo ili waliwe jicho moja, Swali langu je hiko daraja lina uimara wa kuhimiri na kutoboa miaka mingapi?
 
Bora wao (zimwi likujualo) mkiingia nyie daraja kama hilo mtatujengea kwa B+
 
Mawe ya kuokota milimani. Na vifusi vya milimani. + cement
Mawe yanauzwa (au ya kupasua)ndugu,pia cement inayomwaga hapo ni nyingi,nondo ,BRC .

Mimi sio mtaalamu ila madaraja yanajengwa kwa gharama kubwa anbayo hata mimi nahitaji kuona hizo BOQ.mataraja yote ni hivyo hivo

Kuna daraja dogo sana dar limejengwa kwa bilioni 5

Pia kwa wakazi wa dar kuna daraja la mlalakuwa JKT , sio kubwa lakini gharama zake utashtushwa
 
Back
Top Bottom