Hizo siyo picha za daraja lile lile
Nilitaka muuliza kama amewah kujenga hata chooKama hilo we ungejenga kwa shilingi ngapi kamanda?
Nadhani hujawahi kujenga wewe.Hili daraja milioni 15 na chenchi inabaki
Jenga nini labda? Hapa ninapoishi ulinijengea?Nadhani hujawahi kujenga wewe.
Mawe yanauzwa (au ya kupasua)ndugu,pia cement inayomwaga hapo ni nyingi,nondo ,BRC .Mawe ya kuokota milimani. Na vifusi vya milimani. + cement