Ufisadi wa kutisha ccm: bilion 100 zimeshaliwa na kwisha

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam.
Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo.

Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena mnatuma viongozi wenu wa ccm mikoa na wilaya kupita kwenye mabank na asasi za kiraia wakiwa na fomu kuomba pesa za kampeni.

Tunaposema ccm ni mchwa wasioshiba watanzania muelewe.
 
Wamenipigia vijana machawa hapa wanataka mchango wa kamperni .nikawambia sisi hatufanyi kazi na wanasiasa tunafanya kazi na serikali kwa kulipa kodi na tozo nyingine zilizo kisheria

Katoa macho, nikamwambie akachukue mchango TRA au Municipal nilikopeleka kodi
 
Wasalaam.
Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo.

Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena mnatuma viongozi wenu wa ccm mikoa na wilaya kupita kwenye mabank na asasi za kiraia wakiwa na fomu kuomba pesa za kampeni.

Tunaposema ccm ni mchwa wasioshiba watanzania muelewe.
Siyo barua tu! Hata wanachama pia tumetumiwa ujumbe na control number ya kuchangia chama kwa ajili eti ya uchaguzi wa mwaka huu!!
Mpaka nimeshangaa! Kumbe mwaka huu kuba uchaguzi!!!!

Wahuni waache kufikiri wanachama wote ndani ya ccm wana akili kama chiembe, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah!
 
Lazima T-Shirt,Kofia na Vitenge vilipiwe! Hakuna vya bure ulimwengu huu.
 
Siyo barua tu! Hata wanachama pia tumetumiwa ujumbe na control number ya kuchangia chama kwa ajili eti ya uchaguzi wa mwaka huu!!
Mpaka nimeshangaa! Kumbe mwaka huu kuba uchaguzi!!!!

Wahuni waache kufikiri wanachama wote ndani ya ccm wana akili kama chiembe, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah!
sizilichangwa 86.9bn tu, hizo 14bn ndo tujazilize wakuu, mbona tonetone hatukulalamika hivi,
 
Sasa unafikiria CHAUMA na ACT wanapata wapi fedha za kufanya majigambo ,Slowslow kasema hizi ni CCM B na C lazima zipate ruzuku kutoka CCM A
kabisa hawa ni muhimu upepo ukijaa ccm inapumulia act na chaumma, fikiria mpina asingechomoka hali ingekuwaje?
 
izo barua zilianza kusambaa kitambo sana kabla hata harambee

tena wanapiga pakubwa mchango kuanzia m1-m5
 
Wasalaam.
Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo.

Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena mnatuma viongozi wenu wa ccm mikoa na wilaya kupita kwenye mabank na asasi za kiraia wakiwa na fomu kuomba pesa za kampeni.

Tunaposema ccm ni mchwa wasioshiba watanzania muelewe.
Kwani hapo tatizo ni nini? Wewe uliishawahi kupewa mapato na matumizi ya tone tone!?
 
kabisa hawa ni muhimu upepo ukijaa ccm inapumulia act na chaumma, fikiria mpina asingechomoka hali ingekuwaje?
CCM ndio maana wamepata kigugumizi ,hawakutegemea kama mpina ataenda ACT faster ,Mpina anaenda kula fedha za CCM kiulaini sana
 
ameenda kwa mkopo, siulisikia yule alisema alikuwa bacelona kwa mkopo amerudi Rial Madrid kapewa na jezi tayari, professional players huwa hawakosi namba
 
Wasalaam.
Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo.

Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena mnatuma viongozi wenu wa ccm mikoa na wilaya kupita kwenye mabank na asasi za kiraia wakiwa na fomu kuomba pesa za kampeni.

Tunaposema ccm ni mchwa wasioshiba watanzania muelewe.
Ndio maana wameanza kupanguana , fumba na kufumbua Amos Makala tupa kule?
 
Back
Top Bottom