Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Siyo barua tu! Hata wanachama pia tumetumiwa ujumbe na control number ya kuchangia chama kwa ajili eti ya uchaguzi wa mwaka huu!!Wasalaam.
Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo.
Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena mnatuma viongozi wenu wa ccm mikoa na wilaya kupita kwenye mabank na asasi za kiraia wakiwa na fomu kuomba pesa za kampeni.
Tunaposema ccm ni mchwa wasioshiba watanzania muelewe.
sizilichangwa 86.9bn tu, hizo 14bn ndo tujazilize wakuu, mbona tonetone hatukulalamika hivi,Siyo barua tu! Hata wanachama pia tumetumiwa ujumbe na control number ya kuchangia chama kwa ajili eti ya uchaguzi wa mwaka huu!!
Mpaka nimeshangaa! Kumbe mwaka huu kuba uchaguzi!!!!
Wahuni waache kufikiri wanachama wote ndani ya ccm wana akili kama chiembe, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah!
kabisa hawa ni muhimu upepo ukijaa ccm inapumulia act na chaumma, fikiria mpina asingechomoka hali ingekuwaje?Sasa unafikiria CHAUMA na ACT wanapata wapi fedha za kufanya majigambo ,Slowslow kasema hizi ni CCM B na C lazima zipate ruzuku kutoka CCM A
Yani mtu na akili zako uchange pesa za kuwalipa kina Ally Kiba, Mpoto na wapumbavu wengine?sizilichangwa 86.9bn tu, hizo 14bn ndo tujazilize wakuu, mbona tonetone hatukulalamika hivi,
Kwani hapo tatizo ni nini? Wewe uliishawahi kupewa mapato na matumizi ya tone tone!?Wasalaam.
Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo.
Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena mnatuma viongozi wenu wa ccm mikoa na wilaya kupita kwenye mabank na asasi za kiraia wakiwa na fomu kuomba pesa za kampeni.
Tunaposema ccm ni mchwa wasioshiba watanzania muelewe.
CCM ndio maana wamepata kigugumizi ,hawakutegemea kama mpina ataenda ACT faster ,Mpina anaenda kula fedha za CCM kiulaini sanakabisa hawa ni muhimu upepo ukijaa ccm inapumulia act na chaumma, fikiria mpina asingechomoka hali ingekuwaje?
ameenda kwa mkopo, siulisikia yule alisema alikuwa bacelona kwa mkopo amerudi Rial Madrid kapewa na jezi tayari, professional players huwa hawakosi nambaCCM ndio maana wamepata kigugumizi ,hawakutegemea kama mpina ataenda ACT faster ,Mpina anaenda kula fedha za CCM kiulaini sana
Ndio maana wameanza kupanguana , fumba na kufumbua Amos Makala tupa kule?Wasalaam.