NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
Mimi niliinunua muda wa maongezi tsh, 2000 nilipo taka kupiga simu nikaambiwa salio halitoshelezi kuangalia salio linasoma 0 NIMETUPA LINE YAO
Uwe unazima data kabla hujaweka vocha sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niliinunua muda wa maongezi tsh, 2000 nilipo taka kupiga simu nikaambiwa salio halitoshelezi kuangalia salio linasoma 0 NIMETUPA LINE YAO
Mi nilinunua kifurushi cha intaneti cha 10,000/= nilipo taka kusafu nilishindwa kucheki salio la mb hakuna mda wa hewani nao 0 line niliitupa baada ya kuwasiliana na mtoa huduma kunijibu upuuzi.Mimi niliinunua muda wa maongezi tsh, 2000 nilipo taka kupiga simu nikaambiwa salio halitoshelezi kuangalia salio linasoma 0 NIMETUPA LINE YAO
Mimi nilijiunga kifurushi cha Jero cha Cheka,wakanipa 5Gb na Muda wa Maongezi dakika 500,sms 10000…
Na nikatumiwa sms kuwa mwisho wa offer hiyo 31 January 2015 ila kwa upande wa Bundle niliambiwa nitatumia mpaka litakapoisha…
Ilikuwa ni December mwaka jana…
Jero tuu ilinipa kifurushi ambacho kwanza sijui kama kilikuwepo kwenye menyu za Voda…
So it depend… hii mitandao haiko stable in one word!
Nasubiri siku niweke 1000 m pesa nikute ipo 3M…
Natoa hapo hapo na kutupa line kabisaaa!!
Wana jf hebu tusaidiane ni kwa nini hii nchi makampuni yanapora mali za wanyonge kwa jeuri kubwa na hakuna wa kuwasemesha? Ni hivi, nilkuwa na salio la tshs. 2,943,040 kwenye line yangu ya voda; natumia lain hii kwa miamala ya kibenki,kununua huduma, kuongea na jamaa zangu nje hata masaa matano mfulizo, nk. Lakini ghafla wamekwiba pesa zote hizi na kuniwekea salio la zero zero;ni siku tano sasa tangu jumatano sipigi simu wala kufanya miamala yoyote. Nimewaripotia tangu alhamisi na wanachofanya ni kunitumia mimeseji eti wanachunguza, ni hadi lini? hivi mtu anaingia kwenye akaunt ya mtu kwa jeuri na kuiba masalio na pasiwepo na la kufanya? au hizi ndio pesa wanazofanyia mapromosheni ya uongo na kweli? kampuni gani inaweza kutoa zawadi bilioni moja lakini inaiba salio la milioni mbili? namba yangu ni 0754 843388 na mwenye wazo la kunisaidia tuwasiliane
Zima data kabla ya kuweka salioHapana voda watendaji wake ni wezi tena sana watakuwa wamempiga hao jamaa.
Ata mimi wananipga sana kupitia airtime,ukiweka salio kaa kidogo alafu angalia salio,hujapga,hujatuma sms ila unakuta salio limekatwa,kimbembe sasa wapgie kitengo cha huduma kwa wateja Majibu yao utatamani kurudi kwenyeenzi za kuandika barua.
na hata gari unatumia isiyo na matairi dah wewe kibokoKwenye upande wa huduma za kibenki kupitia simu Tanzania bado sana. Usalama wa pesa za wateja ni mdogo sana, ulinzi wa kuzuia wezi wa mitandaoni bado sana. Pesa zinaibiwa kwa namna ambayo hata wao wanabaki kuduwaa imekuwaje kitu ambacho hakitakiwi. Mimi hizi huduma za kibenki kutumia simu situmii kabisa na hata benki natumia akaunti ambayo haina kadi ya ATM wala nini. Pole sana.