Ufisadi wa kutisha vodacom

Mimi niliinunua muda wa maongezi tsh, 2000 nilipo taka kupiga simu nikaambiwa salio halitoshelezi kuangalia salio linasoma 0 NIMETUPA LINE YAO
Mi nilinunua kifurushi cha intaneti cha 10,000/= nilipo taka kusafu nilishindwa kucheki salio la mb hakuna mda wa hewani nao 0 line niliitupa baada ya kuwasiliana na mtoa huduma kunijibu upuuzi.
 
Hata mm waliniibia pia ni week sasa wananitumia mimeseji yao sasa hata kuwapgia wamenilimit yaani Hawa ni wezi kweli aisee
 
Fuata taratibu zao wasipokusaidia, ripoti TCRA wakishindwa fungua kesi mahakama ya biashara (sikumbuki jina lake)
Chama cha Walaji/Watumiaji Tanzania ni Simba wa mabox!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilijiunga kifurushi cha Jero cha Cheka,wakanipa 5Gb na Muda wa Maongezi dakika 500,sms 10000…
Na nikatumiwa sms kuwa mwisho wa offer hiyo 31 January 2015 ila kwa upande wa Bundle niliambiwa nitatumia mpaka litakapoisha…
Ilikuwa ni December mwaka jana…
Jero tuu ilinipa kifurushi ambacho kwanza sijui kama kilikuwepo kwenye menyu za Voda…
So it depend… hii mitandao haiko stable in one word!
Nasubiri siku niweke 1000 m pesa nikute ipo 3M…
Natoa hapo hapo na kutupa line kabisaaa!!
 

hahahahaaaaa mkuu umenichekesha kweli yanii......Kwikwikwikwiiiiii kho kho kho koh...:whoo::whoo:
 

Mkuu,pole sana kwa yalokukuta.
Kuna jamaa yangu alipatwa na mkasa kama wako Kwani yeye alikuwa na 3.5m airtime(vocha) kwenye cm yake.

Alipofuatilia voda hakurudishiwa pesa yake ila tulichokuja kufaham ni kuwa unapotumia bundle la internet na likiisha linaendelea kukwangua airtime yako bila ridhaa ya mhusika.

Ushauri ni kutoacha kiasi kikubwa cha fedha kwenye airtime lakini pia kuzima data kama hautumii internet na hasa Kwa Smartphones.

Pole tena mkuu.
 
Mbona wasifanye kutenganisha na data na muda wa maongezi kama ilipo hapa uganda
Ukitaka kutumia muda,wa,maongezi,kwenye data inabidi ujisajiri la sivyo data ikiisha inabidi ununue upya bandle, hapo ni kuibia wateja
Mamlaka ya mawasiliano na technologia wako wapi????
 
Zima data kabla ya kuweka salio
 
Izo hela wanatudisha we piga simu call center mi walinirudishia wanadai airtime iliexpire!!!
 
na hata gari unatumia isiyo na matairi dah wewe kiboko
 
All in All kuna kautaratibu naona wamekaanzisha kama huweki vocha mara kwa Mara akaunti yako ina exipire. Hii inawahusu wale watu unaweza kukuta ana Salio la vocha milioni 6 au mil 2 kama mkuu haoo juu. Suluhisho ili nawewe yasikukute kwa mwezi weka vocha hata Mara 1 hata ya mia 5.
Kuhusu refund nenda vodashop.
Nawakilisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…