MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
Ni baada ya kutafuna fedha za ada za wanafunzi(wanachuo) wanazolipiwa na bodi ya mkopo ya elimu ya juu ikishirikiana na benki fulani hapa nchini. source.Gazeti la leo la NIPASHE UKURASA WA 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa waziri mulugo ameahidi kufuatilia suala hili, lakini pia kumbuka mh waziri kumekuwa na taarifa kuwa wizara yako, fedha na utumishi mmezuia ama kuchelewesha maslahi (salary arreas) ya wahadhari ambao kwa nyaati tofauti hasa kuanzia 2010 walikuwapromoted katika ngazi mbalimbali na walikuwa wakilipwa mshahara wao wa zamani kwa miezi 13 walipokija kulipwa decemba 2011 walilipw daraja moja chini na sasa wanaeleka julai 2012 ambayo wanapaswa kuwa kuwa ngazi ya tatu ya mshahara wao wakati ya pili hawajalipwa kwa maelezo kuwa wizara yako na hazina wange adjust scales hizo chakusikitsha hadi leo wanalipwa chini ya stahiki zao. Je, wanafanya kazi ya wito ama wanakopeshwa na watalipwa ofisi hizo zitzkapoona inafaa?tatizo hamna umoja