Ufisadi wa Tanil Somaiya

Ufisadi wa Tanil Somaiya

mkapa knows what he is doing, anajua akiongea yatabumbulika mengi so akaamua kijinyamazia zake...
 
ndo maanake...sidhani kama wakati umefika coz naona kama bado hawa wahindi wanaogopwa...
 
Nina hasira sana na Wahindi mafisadi wanaoliangamiza taifa letu. Hapa najua waandishi wa mafisadi kama akina Manyerere, na viongozi walionunuliwa kwa 1m/- kama Lipumba, watasema naingiza 'ubaguzi wa rangi'. La hasha, nina marafiki zangu wengi tu Wahindi safi ambao nao wanawachukia mafisadi.

wahindi hawafai hata siku moja, they are senseles...
 
Jeuri ya magabachori inalingana tu na ulafi wa watawala wetu. Na watawala wetu wako kama sisi. Tunapenda kuhongwahongwa na kuombaomba tu. Kuanzia kuli mpaka afisa wa juu kabisa wa serikali.

Magabachori wanafahamu hiki kitu na wanautumia huu udhaifu kujineemesha.

Tupo kama mijibwa koko(wote watawala na wananchi wa kawaida). Tukirushiwa tu mnofu au mfupa tunaachia hazina wezi wanajichotea tani yao.

Miafrika tubadilike. Tuchape kazi. Tutengeneze vitu tuuze ndo tupate pesa. Sio kutegemea bakuli, hongo na miujiza ya miungu.
 
Jeuri ya magabachori inalingana tu na ulafi wa watawala wetu. Na watawala wetu wako kama sisi. Tunapenda kuhongwahongwa na kuombaomba tu. Kuanzia kuli mpaka afisa wa juu kabisa wa serikali.

Magabachori wanafahamu hiki kitu na wanautumia huu udhaifu kujineemesha.

Tupo kama mijibwa koko(wote watawala na wananchi wa kawaida). Tukirushiwa tu mnofu au mfupa tunaachia hazina wezi wanajichotea tani yao.

Miafrika tubadilike. Tuchape kazi. Tutengeneze vitu tuuze ndo tupate pesa. Sio kutegemea bakuli, hongo na miujiza ya miungu.

hili ndilo tatizo letu, hatuwezi hata siku moja kuwa creative, au kutumia utanzania wetu kutetea chetu..we are ful of bla blaa's watu wanakuja wanajinufaisha kwa mali zetu sisi bado tuu tunanyenyekea... na huyu JK wetu ndo basi tena hata sina cha kuongea..yeye akikagua kitu kaweka mikono mfukoni utadhani obama as if nchi yake ni baabu kubwa kumbe hakuna kitu....
 
Speaking on phone with EastAfrican Business Week in a country he did not like to mention last week, Somaiya said that he was surprised to hear that he has severally been implicated in the scandals involving the presidential jet, military radar, supplying of military trucks and helicopters to Tanzania.

"Am about 42 years old, with more than 20 years in business, but let me assure you and Tanzanians that I have never in my life done any business with the Tanzania government," the tycoon said.

Somaiya, believed to have bought about six companies in recent years, said that the monies came from other businesses and not from business with the government.

"The money came from other businesses, they are not related to commissions paid by the government or whatsoever," he said.

Tangu lini mwizi akakubali? Hajipendi?
 
ha ha ha ha good lord mungu nipe nguvu niendelee kuishi nione mwisho ya haya mambo AMEN.
 

Tangu lini mwizi akakubali? Hajipendi?

Na tangu lini mshutumu mwizi akamuuliza mwizi kama kaiba?

Wewe toa ushahidi, mpeleke mahakamani ukaonyeshe vidhibiti kwamba kaiba.

Tunachofanya ni sawa na kumuuliza mtu athibitishe kwamba amezaliwa Tabora au amesoma wapi shule ya msingi. La hasha. Wewe unaedai, unaeshuku, jamaa kazaliwa Irani au Afghanistan au Burundi ndio ulete ushahidi. Sio umuulize yeye "eti eti uliiba, eti ulizaliwa wapi, eti wewe ni Dowans au ni Kagoda"? Kwani Tume zenu za Takukuru na Mwakyembe na Feleshi na SFO zilishindwa ku figure out nani ni Dowans na nani ni Kagoda na nani kauza Radar na ndege na migodi?

Si mnajua katuibia? Mfungulieni kesi. Meanwhile, wakati mnajishauri, acheni kupokea zawadi zake za pikipiki.

67986.jpg


Na Mafisadi Sangara, ma agenti wa dili za mapapa, nao waanze ku give back hata baiki moja na wenyewe.

6421.JPG

 
Inawezekana kabisa hawa wahindi walitaka kubambikiziwa lakini wamesituka na ndio tunaona wamekwama ,kesi haziendi wala hazirudi ,bila ya shaka kuna ugumu wa kuwakandamiza umeshazidi ugumu ,si tunafahamu ni jinsi gani mapolisi na watu wengine kwa kubambikizia wengine kesi za kutunga ,ila kwa habari hii inaonyesha kama kuna waliofichwa bora wajitayarishe.

Serikali kwa nini inachelewesha kesi za mafisadi na hata hao waliopelekwa inakuwa inachukua muda mrefu sana kutajwa tena , kama mliowafikisha mahakamani miuziwa ushahidi wa uwongo basi semeni na waachieni hao wahindi wasije wakajifia ,naweza kuamini kuwa wahindi inawezekana kabisa waliliwa pesa ili kuanzisha biashara zao lakini sio kuiba wala kutoa rushwa ,wako walioiba na waliotoa na kupokea na hawa ndio waliowabambikizia kesi hawa wahindi. Mpelekeni Mkapa mahakamani na Chenge na sio hawa wauza ubuyu.
 
Kazi kwelkweli tumefuika patamu kila mtu anaka yeye si fisadi.Pumba na chele tutazijua tu wacha wakane
 
I condone Idd Amin, tuone sasa??
 
10 questions that Tanil Somaiya should answer


THISDAY REPORTER
Dar es Salaam


IT has been established that the Shivacom Group of Companies proprietor, Tanil Somaiya, and his former business partner, Shailesh Vithlani, are both alleged to have been behind dubious procurement contracts with the government, worth well over $240m (approx. 300bn/-), in the past few years.

According to well-placed sources familiar with the activities of the two businessmen, they were paid so handsomely by the government despite the fact that the actual value of goods supplied through them was more in the region of $90m (approx. 120bn/-) only.

But while Vithlani is understood to have since skipped the country and remains a wanted fugitive, Somaiya (pictured) has maintained his innocence over these dealings, and continues to conduct his business activities openly within the country.

Under the Shivacom Group of Companies incorporated in 2006, Tanil has branched out into various business interests including telecommunications, security, construction, advertising, promotion, and real estate.

Still, here are ten vital questions that the 44-year-old Somaiya is facing with regard to the corruption allegations now being levelled against him:

1. The Shailesh Vithlani connection

Tanil has admitted to being a close friend and business partner of the fugitive military radar deal agent for many years. In fact, the two - bosom buddies from childhood days in Mwanza - jointly registered a business company, Merlin International Limited, in 1986. They were joint sole shareholders of this company and another firm, Vithcorp, until January 2008, when Tanil announced he had ceased all his business connections with Vithlani.

But since Merlin International was the company used to push through all the afore-mentioned suspicious government deals, which were all done when Tanil and Shailesh were still business partners, how did Tanil personally benefit?

2 As joint shareholder, wasn’t he an active and willing partner of Vithlani in all the deals involving Merlin International
� and, for that matter, Vithcorp � another company understood to have been involved in various shady deals?

3. Military radar scandal

In 2006/07, both Somaiya and Vithlani - as directors of Merlin International Ltd - were interrogated by detectives from Britain’s Serious Fraud Office (SFO) before a magistrate at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam. Tanil and Shailesh both admitted under oath that they held power of attorney over Envers Trading Corporation, a company that received illegal kickbacks amounting to $12m from BAE Systems, the manufacturer of the military radar purchased by the Tanzanian government in 2001/02. Just how much did Tanil receive from this transaction?

4. Military trucks deal

In 2004/05, Somaiya and Vithlani won a milti-million-dollar tender from the defence ministry for the supply of around 650 trucks and buses for the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF). While the government paid the suppliers the full amount of money since 2006, only 350 of the vehicles are understood to have have thus far arrived in the country. In applying for this tender, the two (Somaiya and Vithlani) fraudulently claimed to be owners of INCAR Tanzania Limited, the authorised dealer for IVECO trucks from Italy.

But it was only in 2006 that Somaiya/Vithlani actually bought INCAR Tanzania Ltd. The INCAR company file has, meanwhile, mysteriously vanished at the Business Registration and Licensing Authority offices. What was Tanil’s role in this apparent fraud involving the supply of military vehicles?

5. Military helicopters

Tanil and Shailesh are again alleged to have been involved in the supply of questionable helicopters to the defence ministry for the TPDF. In the first place, the duo are said to have supplied the aircraft even though they were not the chosen agents of the manufacturer, Agusta Bell. Secondly, two of the four helicopters supplied have already crashed within the country, leading to the loss of several lives. It has also been established that, apart from being overpriced, the helicopters are actually refurbished and designed for civilian use. What does Somaiya have to say about this deal?

6. Shivacom Tanzania

It is estimated that Shivacom Tanzania, a Vodacom local super dealer owned by Somaiya, registers a monthly turnover of around $15m, which translates into $180m (approx. 250bn/-) per year. Value added tax (VAT) due to the Tanzania Revenue Authority (TRA) should be around $36m (approx. 50bn/-) per year, yet the company is understood to have paid tax worth just $2m (approx. 2.8bn/-) in 2008. Is Shivacom engaged in tax evasion?

7. Purchase of companies/real estate

Over the past few years, Tanil has purchased a string of companies in the country. They include Ultimate Security Tanzania Ltd, Visual Magic Tanzania, Stefnat Engineering & Technical Services, Big Fish Graphics Tanzania, Estia Real Estate Tanzania, Alexander Forbes Insurance, Momentum Tanzania Limited, and several others. How did Tanil finance the purchases of all these companies and assets?

8. Expensive toys

Somaiya is said to have recently purchased a $400,000 (approx. 560m/-) Ferrari sports car from Italy, a $2.5m (approx. 4.5bn/-) yacht, a $350,000 (approx. 490m/-) Mercedes Benz, a private helicopter worth $6m (approx. 8bn/-), and other luxury assets. How much in taxes did Tanil actually pay for each individual item?

9. SFO Investigation

Britain’s Serious Fraud Office (SFO) has been officially investigating Somaiya’s involvement in the military radar scandal. In his own opinion, why does he think he is considered a prime suspect by external detectives in the whole radar deal investigation?

10. When will Somaiya answer these and other such questions that are now on the lips of many Tanzanians regarding his alleged involvement in exceptionally grand corruption?
 
hapo ana kesi ya kujibu. kama hatajibu, ina maana anakubaliana na tuhuma zote kuwa za kweli. hata mahakamani unaposomewa tuhuma, huwa unaweza ukakubali au kukataa, au kunyamaza kimyaaa, ila unaweza kuambiwa kuwa, ukinyamaza kimyaaa bila kujibu itakuwa ina maanisha kuwa umekubaliana na tuhuma zote hivyo subiri hukumu. this guy has a case to answer.
 
Rostam nae alisema kuwa hausiki kabisa na Richmond......Chenge nae alisema hausiki kabisa na rada....Rostam tena akasema hausiki na EPA...Lowassa akasema hausiki na Richmond....Msabaha yeye ni bangusilo...naona hawa wanatumia ile philosophy ya Bill Clinton,DENY..DENY..DENY!


Kama hawahusiki watuambie anahusika nani? Hawakawii kutumbia ni majini.
 
Hofu yangu ni kwamba siwaoni kwenye nyama siku hizi! Waziri Mkuchika anaweza kutukataza na sisi Tusiwalumbe hawa magabachori, maana nd'o kazi ya serikali siku hizi, kuwapigania na kuwalinda magabocholi (wacha niitwe racist!) But inafikia mahala inabidi tutoe kauli kali. SOmaiya hana jipya. wanatuona sisi mabwege na mambumbu. Kwa sababu tu wanao akina mkuchika na mama simba, basi they'r above da law!!
 
Back
Top Bottom