Ufisadi wa Tanil Somaiya


Mkuu Sosoliso,watanzania tuna asili tofauti wapo ambao wana asili ya kiasia na hata persia lakini si vyema kuwaita watanzania wenye asili ya kiasia MAGABACHOLI.hili si jina zuri na ni la kibaguzi.Ikumbukwe tu kwamba kuna member humu ambao ni watanzania wenye asili ya kiasia na hata wenye asili ya kisomali sasa si vyema kupeana/kuitana majina yasiyofaa humu.
 
sipati picha mwakani kama patatosha hapa. kikwete na ccm wana kazi kubwa sana kupata viti vya ubunge mwakani. kama kikwete akijitahidi kulinda kiti chake, hakika atakuwa na wabunge wachache sana.
 


Mkuu Kinyamana, usi-generalize Sio waasia wote ni Magabacholi lakini kama ni mafisadi wa mali zetu kwanini wasiitwe magabacholi? mwizi ni mwizi tu hakuna kumpamba.
kuwapamba watu ndiyo kumetufikisha hapa. Tuliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania; haya ndiyo maisha bora? fisadi lowasa kajiuzulu kwa kashfa ya richmond, wanampamba eti ni ajali ya kisiasa na kumwita shujaa. hivi kashfa ni ajali ya kisiasa? ni ushujaa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…