Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

Mh. Rais alisema wapishe haraka nafasi zao, nani kajiuzulu, i hope list ya walio jiuzulu itatoka soon.
Wakipisha watakuja wengine nao watapisha kama desturi yao then watakuja mwengine nao watapisha just like that
..sasa kuna rais wa namna hiyo duniani
 
iviiii elimu ya msingi hawafundishagi maana ya uzalendo??!! maana nimesoma kitambo sana sikumbuki aseeee
Nchi isiyowapa Walimu kipaumbele haiwezi kujua thamani ya malezi kwenye hatua za awali za ukuaji wa mtoto

Mapungufu ya kimaadili na kijamii hutakiwa kuandaliwa katika umri mdogo kabisa wa ukuaji wa mtoto

Mtaala wetu upo kimya kabisa kuhusu maadili yetu walau kwa sasa unaona jitihada zipo zinaendeea ingawa ni za kusua sua

Kuna watu humu wanadharau Walimu na sasa haya no baadhi TU ya matokeo yake tutazalisha majambazi yasiyo na utu kama tusipoamua kuchagua kupanga
 
Halafu raisi akitumbua wezi anaitwa dikteta na anayechukia matajiri
 
Mijitu inajifanya ina hasira ya kupiga mwizi kisa ameiba simu. Inaacha watu wanapiga mabilioni. Unafki ulioje.
 
Back
Top Bottom