Ufisadi

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,544
Naomba kuanza mchango wangu kwenye JF kwaunukuu maneno haya: " UFISADI unaimaliza nchi yetu.Tunazungumza sana kuhusu ufisadi, tunaulaani sana lakini wakati huo huo tunajihusisha nao bila haya. Unaweza kuhisi kwamba tunazungumza kuhusu ufisadi kwa sababu tu Rais anauzungumzia. Kama akikaa kimya; nasi tutakaa kimya": (Joseph Sinde Warioba)
 
Karibu mkuu, ndio nchi yetu hii lakini taratibu tu tutafika.
 
Karibu sana JF mkuu.Kinywaji gani unatumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…