mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,544
Naomba kuanza mchango wangu kwenye JF kwaunukuu maneno haya: " UFISADI unaimaliza nchi yetu.Tunazungumza sana kuhusu ufisadi, tunaulaani sana lakini wakati huo huo tunajihusisha nao bila haya. Unaweza kuhisi kwamba tunazungumza kuhusu ufisadi kwa sababu tu Rais anauzungumzia. Kama akikaa kimya; nasi tutakaa kimya": (Joseph Sinde Warioba)