Ufoo Saru...

Ufoo Saru...

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,698
Namkubali sana huyu binti jinsi anavyoripoti matukio mapya na alivyo "committed" kwenye kibarua chake; jinsi anavyoibua habari mitaani. Ni kama Jerry Muro wakati uleeee kabla ya kukwaa kisiki. Big up sana madame and keep it up!
 
Nipe namba ya huyo dada tafadhari
Namkubali sana huyu binti jinsi anavyoripoti matukio mapya na alivyo "committed" kwenye kibarua chake; jinsi anavyoibua habari mitaani. Ni kama Jerry Muro wakati uleeee kabla ya kukwaa kisiki. Big up sana madame and keep it up!
 
Sema ni wewe mwenyewe na wakawaida sana
 
Nikiripoti kutoka hapa Temeke NHC ni mimi ufo saroo wa itv.

Dada ni jembe
 
Naona mmeamua kufagiliana! Mlianza na yule wa Musoma..mmehamia kwa Ufoo..haya bwana Mengi amewasikia!
Tunatimiza wajibu mkuu maana kuonyesha appreciation ni uungwana pia.
 
Bona Bonge wa Clauds humfagilii? Anapanda mpaka migomba njiani bana.
 
Matukio muhimu muhimu anaripoti huyu. Je vp salumu mukambala?
 
Jerry wa sasa ni Salum Mahela sijui nimepatia hili jina..huyu dogo amereplace kabisa nafasi ya Murro..
 
Haya Jerry Muro nae karudi msimsahau Sechelela Kongola wa TBC1 ameripoti hata tuhuma za Rushwa Arusha wakati mpiga picha anawakimbia waandishi wenzake
Hongera Ufoo Saro aliniwahi Kibaha wakati malori mawili ya mafuta yalipoungua pale vigwaza tarehe 06 / may / 2010 na mm nikiwepmo ndani lakini nilinusurika Mdada huyu wa ITV aliwahi wa kwanza alfajiri
 
Back
Top Bottom