Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha unafikiMungu akuponye upesi urejee kuitumikia jamii. My TV HAS TURNED BORING WITHOUT YOU UFOO SARO.
Namkubali sana huyu binti jinsi anavyoripoti matukio mapya na alivyo "committed" kwenye kibarua chake; jinsi anavyoibua habari mitaani. Ni kama Jerry Muro wakati uleeee kabla ya kukwaa kisiki. Big up sana madame and keep it up!
Mungu akuponye upesi urejee kuitumikia jamii. My TV HAS TURNED BORING WITHOUT YOU UFOO SARO.
mbona kama unatudanganya as if Ufoo alikuwa anatangaza vipindi 24/7 kumbe
hata akiripoti taarifa za habari zilikuwa hazizidi 4..tena hapo ni nyingi sana...
Huwa naangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku tu, hivyo vipindi vingine havinihusu
Are you the killer's relative? Ok; tufanye Ufoo huwa haripoti kitu kabisa kwenye TV. Is it cool with you now?
acha unafiki
Wewe ni m-mawera wa Uru na Ufoo ni Mmachame; udugu utoke wapi?